Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

Bomboclaat

Bum bum cloth.

Toilet paper inayotumiwa kuchambia mavi.

Ras claat

Literally ni ma pedi yanayowekwa na wanawake kwenye sehemu zao za siri kuzuia damu ya hedhi.
Aisee leo ndio nimejua maana ya hili nenoπŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jamaa MSHAMBA SANA halafu ELIMU DUNI.
Kinachonshangaza ile confidence anaitoa wapi, Na Management yake inakua wapi mpaka msanii wao anatoa boko hivyo
 
Yani daah anatia aibu..
Na lile dole la kati kila picha anaonyesha...
Harmo nilikua namkubali ila siku ananikera mnoo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…