Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 515
- 476
Kwanza salute kwa wote mliotangulia, wakubwa kwa wadogo...
swali langu ni hili, katika uendeshaji wangu wa gari from beginning huwa ninaendesha peku, ninamaana ya mguu unaokanyaga kwenye accelerator ni lazima uwe peku, kiwe kiatu cha kufunika, wazi au sendozi kwangu ni mwiko... yaani huwa sifeel ile confortability kabisa na hasa ile handling mpaka niwe peku mguu wa kulia..
je ni mimi tu wa hivi au wapo watu wa dizain kama mimi...
je kuna madhara yeyote.