Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
sawa mwalimu wa vetaWe ni learner tu hujui kuendesha gari! After all wanawake wengi ndo wana tabia hyo! Me hata niwe nimevaa rain boots naendesha tu kama kawaida!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mwalimu wa vetaWe ni learner tu hujui kuendesha gari! After all wanawake wengi ndo wana tabia hyo! Me hata niwe nimevaa rain boots naendesha tu kama kawaida!
Hapana me si mwalimu!sawa mwalimu wa veta
mkuu kitu kinachoitwa kiatu cha aina yeyote kwangu ni mwiko... huwa ni peku mwanzo mwisho, je ni sahihi?
haaaaa haaaaa haaaaa hayaHapana me si mwalimu!
Mkuu hii hali hata mm huwa inanitokea. napedna sana kuvua kiatu mguu wakulia nikiindesha gari .Kwanza salute kwa wote mliotangulia, wakubwa kwa wadogo...
swali langu ni hili, katika uendeshaji wangu wa gari from beginning huwa ninaendesha peku, ninamaana ya mguu unaokanyaga kwenye accelerator ni lazima uwe peku, kiwe kiatu cha kufunika, wazi au sendozi kwangu ni mwiko... yaani huwa sifeel ile confortability kabisa na hasa ile handling mpaka niwe peku mguu wa kulia..
je ni mimi tu wa hivi au wapo watu wa dizain kama mimi...
je kuna madhara yeyote.
Haina shida mkuu tena trafki akikukamata mwambie ni masharti ya mganga wako akiandika itamdhuru.mkuu kitu kinachoitwa kiatu cha aina yeyote kwangu ni mwiko... huwa ni peku mwanzo mwisho, je ni sahihi?
Mkuu Leseni wewe hunamkuu kwa sheria ipi ya usalama barabarani Na imeanza lini. Mavazi hayana uhusika wowote katika uendeshaji wa gari. Iwe kofia,shati hata viatu vyote havina umuhimu katika ufanisi wa uendeshaji wa gari. Mara kibao naendesha gari huku nimevaa sandals,bukta Na tshirt Na hakuna longolongo.
mkuu kwa sheria ipi ya usalama barabarani Na imeanza lini. Mavazi hayana uhusika wowote katika uendeshaji wa gari. Iwe kofia,shati hata viatu vyote havina umuhimu katika ufanisi wa uendeshaji wa gari. Mara kibao naendesha gari huku nimevaa sandals,bukta Na tshirt Na hakuna longolongo.
ndio najua Na Mara zote naendesha Na sandals za mikandaKuendesha gari na open shoes ambazo hazina mikanda ni kosa kwa kuwa unahatarisha usalama wako na wa wengine pia
Mmeanza kuendesha magari majuzi ndio maana,mtazoea tu msijali.Mimi sijui na tatizo gani, nikiendesha na viatu mguu unauma, nikiendesha peku raha mustarehe!
Me nimesomea Udereva veta miez 2 Aisee ni mwiko kuendsha Gari peku au viatu vya waz... 2. Hujavaa mkanda hata uchi...!!mkuu kwa sheria ipi ya usalama barabarani Na imeanza lini. Mavazi hayana uhusika wowote katika uendeshaji wa gari. Iwe kofia,shati hata viatu vyote havina umuhimu katika ufanisi wa uendeshaji wa gari. Mara kibao naendesha gari huku nimevaa sandals,bukta Na tshirt Na hakuna longolongo.
mwalimu wako kakudanganya au mtaala uliosoma ulikuwa wa kikoloni mkuu,kuendesha gari peku sio kosa Na hakuna madhara yoyoteMe nimesomea Udereva veta miez 2 Aisee ni mwiko kuendsha Gari peku au viatu vya waz... 2. Hujavaa mkanda hata uchi...!!