Je ni sahihi kuendeshesha gari peku?

Je ni sahihi kuendeshesha gari peku?

Haupo peke yako. Mm pia naendesha peku mguu wa kulia..... Nikiwa na kiatu nahisi sipo comfotable na siwez control speed wala kumove mguu haraka kwenda kwa brake. Pia siwez drive huku nimevaa miwani[emoji23]
 
Kama umevaa sandals ambazo siyo za mikanda ni salama kuendesha gari ukiwa peku, zile sandals ni hatari sana kuendesha gari uku ukiwa umezivaa unaweza leta ajali kubwa sana.
Kivp hpo ajali kubwa sana imaweza kusababishwa tuwekee gris kdgo kwny chuma hcho kiachie mdau.
 
mwalimu wako kakudanganya au mtaala uliosoma ulikuwa wa kikoloni mkuu,kuendesha gari peku sio kosa Na hakuna madhara yoyote
Kweli mkuu ni kosa. Hairuhusiwi tho tumezoea na tunapenda kufanya hivi.... Wanasema peku inaweza leta ajali hasa pale accelereta ikiwa imetoka kile kiplastic ikabaki chuma inaweza sababisha short kwa mguu hence ww kusababisha ajali. Hasa magari ya manual mengi yametoka kiplastic hadi kwenye brake ( nadhani ni uchakavu unahusika)
 
mfumo wa gari wa umeme betri inatoa 12V ambazo hazisababishi shoti hata kidogo labda wiring ipige shoti,sehemu pekee inayotoa shoti Ni kwenye plugs ambazo zipo kwenye engine kule Na sio ndani ya gari. So mkuu hamna shoti yoyote kwenye accelerator hata Kama kile kiplastic kimetoka ambacho kikitoka kinasababisha mguu kuwa unateleza ukiwa unakanyaga mafuta iwe Na viatu au peku.
 
Haupo peke yako. Mm pia naendesha peku mguu wa kulia..... Nikiwa na kiatu nahisi sipo comfotable na siwez control speed wala kumove mguu haraka kwenda kwa brake. Pia siwez drive huku nimevaa miwani[emoji23]
Miwani me natupia kama kawa ila ni ile ya jua sun glass,sio hizi za macho
 
Bado sijajaribu kuendesha uchi[emoji23] [emoji23] siku nkifumaniwa na mke wa mtu,uendeshaji huo utanihusu tu!
 
Kwanza salute kwa wote mliotangulia, wakubwa kwa wadogo...

swali langu ni hili, katika uendeshaji wangu wa gari from beginning huwa ninaendesha peku, ninamaana ya mguu unaokanyaga kwenye accelerator ni lazima uwe peku, kiwe kiatu cha kufunika, wazi au sendozi kwangu ni mwiko... yaani huwa sifeel ile confortability kabisa na hasa ile handling mpaka niwe peku mguu wa kulia..

je ni mimi tu wa hivi au wapo watu wa dizain kama mimi...
je kuna madhara yeyote.
Wengi wanatabia hiyo na sioni ubaya wowote ule ukiondoa uwezekano wa mguu kuteleza[jasho]
uendeshaji wa namna hii ndiyo hasa unaokupa mgandano na chombo unachokiendesha na kuwa kitu kimoja
 
Kufanya kosa mara nyingi bila kukamatwa na askari haina maana kwamba hilo sio kosa.Nimeshawahi kukamatwa na askari na kuandikiwa cheti nikiwa nimevaa open shoes na nikiwa peku pia kwa nyakati tofauti lakini ni vyema askari akakukamata ukiwa peku kuliko kukukamata ukiwa na open shoes.
 
mfumo wa gari wa umeme betri inatoa 12V ambazo hazisababishi shoti hata kidogo labda wiring ipige shoti,sehemu pekee inayotoa shoti Ni kwenye plugs ambazo zipo kwenye engine kule Na sio ndani ya gari. So mkuu hamna shoti yoyote kwenye accelerator hata Kama kile kiplastic kimetoka ambacho kikitoka kinasababisha mguu kuwa unateleza ukiwa unakanyaga mafuta iwe Na viatu au peku.
Me si mtaalam. Ila ndivo wanavotuambia! Basi wanatudanganya[emoji29] [emoji29] [emoji29]
 
Sheria za barabarani zinamtaka dereva avae viatu ama open shoes zenye mikanda ya nyuma ili kuzuia kutokea kwa kuleleza pindi miguu inapotokwa jasho...sasa siku ukiitwa ukatoka huna nilivyotaja atakutandika 30000 ufunguke akili.
 
Haupo peke yako. Mm pia naendesha peku mguu wa kulia..... Nikiwa na kiatu nahisi sipo comfotable na siwez control speed wala kumove mguu haraka kwenda kwa brake. Pia siwez drive huku nimevaa miwani[emoji23]
daaa mwenzio wasiwasi na uwoga unaongezeka pale unapokuta sasa ndiyo nakatiza maeneo yenye msongamano mkubwa hususa service road huku pikipiki hapa kituo cha daladala pembeni watu na mwendo kasi... hawa watu wa bodaboda ndiyo wa kuwahofia sana mkuu mana mkisuguana kidogo tu hawa hapa kama kunguru kauona mzoga... nikiwa peku mguu wangu unakuwa confortable kabisa na cruise haya maeneo bila wasiwas kabisa... mwepesiiiii
 
Haupo peke yako. Mm pia naendesha peku mguu wa kulia..... Nikiwa na kiatu nahisi sipo comfotable na siwez control speed wala kumove mguu haraka kwenda kwa brake. Pia siwez drive huku nimevaa miwani[emoji23]
Mimi pia nilikua siez kuendesha na viatu, kuna siku nikajarbu kuvaa raba nikaendesha though i was uncomfrtble lakin baada ya muda nilizoea, siku hizi siwez endesha peku kabsa tena niki feel vile vimchanga vya carpet vinanikera kweli
 
Mtu ambaye mala nyingi ana uzoefu na gari iendesha gari akiwa peku trust me it mtoa mada so mzoefu
 
Back
Top Bottom