KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Wanawake wengi wanaendesha bila pichu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuendesha gari peku sio kosa kabisa , kosa ni kuendesha gari na sandals au ndala zisizo na mkanda kwa nyuma.Kwanza salute kwa wote mliotangulia, wakubwa kwa wadogo...
swali langu ni hili, katika uendeshaji wangu wa gari from beginning huwa ninaendesha peku, ninamaana ya mguu unaokanyaga kwenye accelerator ni lazima uwe peku, kiwe kiatu cha kufunika, wazi au sendozi kwangu ni mwiko... yaani huwa sifeel ile confortability kabisa na hasa ile handling mpaka niwe peku mguu wa kulia..
je ni mimi tu wa hivi au wapo watu wa dizain kama mimi...
je kuna madhara yeyote.
Uvaaji wa viatu unahusika kwenye kuendesha,rudi kasome tena utakutana na hiyo sheria
huku kwetu tabia hiyo ya kupack gari na kuanza kumshindilia demu msumari wa moto ipo sana,, mara nyingi huwa nakutana nao mishale ya kumi alfajiri mpaka kumi na moja hivi..Na mnazungumziaje? Wanaoendesha Gari wakiwa wanavuta Sigara, Masada wanaendesha Gari wakiwa hawajavaaa nguo kuanzia kiunoni kushuka chini. Na unazungumziaje watu wanapaki Gari pembezoni mwa barabara kubwa na kuanza kufanya mapenzi
mkuu mimi mara nyingi huwa napenda kufanya jambo ambalo linanipa amani moyoni... ndiyo mana nimelileta hapa kushare ideas... unyayo unaanzaje kukomaaa kwani unakanyaga na mguu mzima.Halafu ukizoea hivyo kuacha ni kazi, mimi nataka nijaribu na soksi maana nipo najifunza ila na viatu siweziii ni peku sasa natishwa naambiwa nyayo itakomaa.
Kwa anayenifundisha ndiyo anasema hivyo miye sio mtalaamu wa magari nitakudanganya bure hapa! Mimi mwenyewe ni muhanga wa pekumkuu mimi mara nyingi huwa napenda kufanya jambo ambalo linanipa amani moyoni... ndiyo mana nimelileta hapa kushare ideas... unyayo unaanzaje kukomaaa kwani unakanyaga na mguu mzima.
Kama ni hvyo Mrisho mpoto angefilisika na ujuaji wakeTraffic akikukamata 30'000/- inakuhusu
We ni learner tu hujui kuendesha gari! After all wanawake wengi ndo wana tabia hyo! Me hata niwe nimevaa rain boots naendesha tu kama kawaida!Kwanza salute kwa wote mliotangulia, wakubwa kwa wadogo...
swali langu ni hili, katika uendeshaji wangu wa gari from beginning huwa ninaendesha peku, ninamaana ya mguu unaokanyaga kwenye accelerator ni lazima uwe peku, kiwe kiatu cha kufunika, wazi au sendozi kwangu ni mwiko... yaani huwa sifeel ile confortability kabisa na hasa ile handling mpaka niwe peku mguu wa kulia..
je ni mimi tu wa hivi au wapo watu wa dizain kama mimi...
je kuna madhara yeyote.