Kama umevaa sandals ambazo siyo za mikanda ni salama kuendesha gari ukiwa peku, zile sandals ni hatari sana kuendesha gari uku ukiwa umezivaa unaweza leta ajali kubwa sana.Kwanza salute kwa wote mliotangulia, wakubwa kwa wadogo...
swali langu ni hili, katika uendeshaji wangu wa gari from beginning huwa ninaendesha peku, ninamaana ya mguu unaokanyaga kwenye accelerator ni lazima uwe peku, kiwe kiatu cha kufunika, wazi au sendozi kwangu ni mwiko... yaani huwa sifeel ile confortability kabisa na hasa ile handling mpaka niwe peku mguu wa kulia..
je ni mimi tu wa hivi au wapo watu wa dizain kama mimi...
je kuna madhara yeyote.
Traffic anakukamataje?Traffic akikukamata 30'000/- inakuhusu
mkuu kwa sheria ipi ya usalama barabarani Na imeanza lini. Mavazi hayana uhusika wowote katika uendeshaji wa gari. Iwe kofia,shati hata viatu vyote havina umuhimu katika ufanisi wa uendeshaji wa gari. Mara kibao naendesha gari huku nimevaa sandals,bukta Na tshirt Na hakuna longolongo.ngoja waje uta jibiwa, japo sidhani kama ni sahihi..., vile vile uki kamatwa una drive peku una pigwa chert,..
sio kweliTraffic akikukamata 30'000/- inakuhusu
sandals iwe Na mikanda kuzunguka kisiginoSandals haina shida, ndala ni shida siku watakapo kuotea ndio utakapo amini hichi ninacho sema mkuu
Makubwa hulijui hili na ujanja wote huo? Unadhani huwa wakichungulia dirisha la dereva wanatafuta nini?Traffic anakukamataje?
BUBUJI acha uongo bwana.ukivaa sendo unashauliwa kuvua kiusalama,hata wale dada zetu wanao vaa viatu virefu wanavua.trafiki ni bora hakukute hupo peku kuliko kukuta na sample za hizo viatuTraffic akikukamata 30'000/- inakuhusu
Uvaaji wa viatu unahusika kwenye kuendesha,rudi kasome tena utakutana na hiyo sheriamkuu kwa sheria ipi ya usalama barabarani Na imeanza lini. Mavazi hayana uhusika wowote katika uendeshaji wa gari. Iwe kofia,shati hata viatu vyote havina umuhimu katika ufanisi wa uendeshaji wa gari. Mara kibao naendesha gari huku nimevaa sandals,bukta Na tshirt Na hakuna longolongo.