Je ni sahihi kuendeshesha gari peku?

We ni learner tu hujui kuendesha gari! After all wanawake wengi ndo wana tabia hyo! Me hata niwe nimevaa rain boots naendesha tu kama kawaida!
sawa mwalimu wa veta
 
Navaa viatu nikiwa naendesha hizi town trip tu,ila nikiwa nasafiri siku zote naendesha peku hapo ndio nakua vizuri kabisa hapa town natamani niendeshe ivyo ila naona usumbufu ila vua na kuvaa viatu.
 
huwezi kuenjoy sex ukiwa umevaa condom the same applies unaendesha gari ukiwa umevaa viatu
 
Mimi sijui na tatizo gani, nikiendesha na viatu mguu unauma, nikiendesha peku raha mustarehe!
 
Mkuu hii hali hata mm huwa inanitokea. napedna sana kuvua kiatu mguu wakulia nikiindesha gari .
 
Dah....ukizoea pekupeku....utakuwa MTU wa peku daima[emoji87]
 
mkuu kitu kinachoitwa kiatu cha aina yeyote kwangu ni mwiko... huwa ni peku mwanzo mwisho, je ni sahihi?
Haina shida mkuu tena trafki akikukamata mwambie ni masharti ya mganga wako akiandika itamdhuru.
 
w
Mimi sijui na tatizo gani, nikiendesha na viatu mguu unauma, nikiendesha peku raha mustarehe!
wahanga tupo wengi mkuu... daa viatu nakosa raha kabisa yani hata balance siipatii vzr
 
Mkuu Leseni wewe huna
ni marufuku kuendesha gari huku umevaa sandals, kobasi au ndala labda iwe na mkanda kwa nyuma
Mwalimu wa Driving lazima akuelekeze madhara yake unaweza kamata breki kikaxhomoka nk
faini ni 30,000/
 

Kuendesha gari na open shoes ambazo hazina mikanda ni kosa kwa kuwa unahatarisha usalama wako na wa wengine pia
 
Kuendesha peku sio kosa Ila ukivaa Sandals ni kosa na faini ni 30k anaebisha siku ajarbu ivo afu akajisimamishe kw traffic aone
 
Kuendesha gari na open shoes ambazo hazina mikanda ni kosa kwa kuwa unahatarisha usalama wako na wa wengine pia
ndio najua Na Mara zote naendesha Na sandals za mikanda
 
Me nimesomea Udereva veta miez 2 Aisee ni mwiko kuendsha Gari peku au viatu vya waz... 2. Hujavaa mkanda hata uchi...!!
 
Me nimesomea Udereva veta miez 2 Aisee ni mwiko kuendsha Gari peku au viatu vya waz... 2. Hujavaa mkanda hata uchi...!!
mwalimu wako kakudanganya au mtaala uliosoma ulikuwa wa kikoloni mkuu,kuendesha gari peku sio kosa Na hakuna madhara yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…