The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
VioTraffic akikukamata umevaa sandal isiyo na mikanda nyuma ni cheti..sheria inasema uvae viatu vya kufunika while driving..mm ni muhanga wa hilo
Uwa uko peku ?tupo wengi
Kivp hpo ajali kubwa sana imaweza kusababishwa tuwekee gris kdgo kwny chuma hcho kiachie mdau.Kama umevaa sandals ambazo siyo za mikanda ni salama kuendesha gari ukiwa peku, zile sandals ni hatari sana kuendesha gari uku ukiwa umezivaa unaweza leta ajali kubwa sana.
Kweli mkuu ni kosa. Hairuhusiwi tho tumezoea na tunapenda kufanya hivi.... Wanasema peku inaweza leta ajali hasa pale accelereta ikiwa imetoka kile kiplastic ikabaki chuma inaweza sababisha short kwa mguu hence ww kusababisha ajali. Hasa magari ya manual mengi yametoka kiplastic hadi kwenye brake ( nadhani ni uchakavu unahusika)mwalimu wako kakudanganya au mtaala uliosoma ulikuwa wa kikoloni mkuu,kuendesha gari peku sio kosa Na hakuna madhara yoyote
mfumo wa gari wa umeme betri inatoa 12V ambazo hazisababishi shoti hata kidogo labda wiring ipige shoti,sehemu pekee inayotoa shoti Ni kwenye plugs ambazo zipo kwenye engine kule Na sio ndani ya gari. So mkuu hamna shoti yoyote kwenye accelerator hata Kama kile kiplastic kimetoka ambacho kikitoka kinasababisha mguu kuwa unateleza ukiwa unakanyaga mafuta iwe Na viatu au peku.Kweli mkuu ni kosa. Hairuhusiwi tho tumezoea na tunapenda kufanya hivi.... Wanasema peku inaweza leta ajali hasa pale accelereta ikiwa imetoka kile kiplastic ikabaki chuma inaweza sababisha short kwa mguu hence ww kusababisha ajali. Hasa magari ya manual mengi yametoka kiplastic hadi kwenye brake ( nadhani ni uchakavu unahusika)
Miwani me natupia kama kawa ila ni ile ya jua sun glass,sio hizi za machoHaupo peke yako. Mm pia naendesha peku mguu wa kulia..... Nikiwa na kiatu nahisi sipo comfotable na siwez control speed wala kumove mguu haraka kwenda kwa brake. Pia siwez drive huku nimevaa miwani[emoji23]
ahhaha huwa sina viatu ndioUwa uko peku ?
Wengi wanatabia hiyo na sioni ubaya wowote ule ukiondoa uwezekano wa mguu kuteleza[jasho]Kwanza salute kwa wote mliotangulia, wakubwa kwa wadogo...
swali langu ni hili, katika uendeshaji wangu wa gari from beginning huwa ninaendesha peku, ninamaana ya mguu unaokanyaga kwenye accelerator ni lazima uwe peku, kiwe kiatu cha kufunika, wazi au sendozi kwangu ni mwiko... yaani huwa sifeel ile confortability kabisa na hasa ile handling mpaka niwe peku mguu wa kulia..
je ni mimi tu wa hivi au wapo watu wa dizain kama mimi...
je kuna madhara yeyote.
Daah safi saanaahhaha huwa sina viatu ndio
Me si mtaalam. Ila ndivo wanavotuambia! Basi wanatudanganya[emoji29] [emoji29] [emoji29]mfumo wa gari wa umeme betri inatoa 12V ambazo hazisababishi shoti hata kidogo labda wiring ipige shoti,sehemu pekee inayotoa shoti Ni kwenye plugs ambazo zipo kwenye engine kule Na sio ndani ya gari. So mkuu hamna shoti yoyote kwenye accelerator hata Kama kile kiplastic kimetoka ambacho kikitoka kinasababisha mguu kuwa unateleza ukiwa unakanyaga mafuta iwe Na viatu au peku.
daaa mwenzio wasiwasi na uwoga unaongezeka pale unapokuta sasa ndiyo nakatiza maeneo yenye msongamano mkubwa hususa service road huku pikipiki hapa kituo cha daladala pembeni watu na mwendo kasi... hawa watu wa bodaboda ndiyo wa kuwahofia sana mkuu mana mkisuguana kidogo tu hawa hapa kama kunguru kauona mzoga... nikiwa peku mguu wangu unakuwa confortable kabisa na cruise haya maeneo bila wasiwas kabisa... mwepesiiiiiHaupo peke yako. Mm pia naendesha peku mguu wa kulia..... Nikiwa na kiatu nahisi sipo comfotable na siwez control speed wala kumove mguu haraka kwenda kwa brake. Pia siwez drive huku nimevaa miwani[emoji23]
Mimi pia nilikua siez kuendesha na viatu, kuna siku nikajarbu kuvaa raba nikaendesha though i was uncomfrtble lakin baada ya muda nilizoea, siku hizi siwez endesha peku kabsa tena niki feel vile vimchanga vya carpet vinanikera kweliHaupo peke yako. Mm pia naendesha peku mguu wa kulia..... Nikiwa na kiatu nahisi sipo comfotable na siwez control speed wala kumove mguu haraka kwenda kwa brake. Pia siwez drive huku nimevaa miwani[emoji23]