Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mwanamke aliyeko period?

Kusema ukweli mimi nimewahi kumpa mtu nikiwa period nilimwambia akajifanya hasikii, tukafanya hivyo hivyo ila baadae huwa zinakuwa kama zinakata hadi baadae sana ndiyo huwa zinaendelea kutoka.
Kwa mara moja haina madhara lakini usirudie tena.
 
Kwa elimu yangu ndogo ya biology.. advanced biology

Mkuu ni sahihi kabisa ila kuna uwezekano wa wewe kupata hormon za mtoto wa kike ambaz kitaalam zinaitwa FSH au follico stimulate hormone..

Utafanya mapenzi vzr tu ila sasa ile FSH itakuwa discharge kipindi una ejaculate hii itapelekea kupata abnormal movement ya sperm zako..

Hali hii kitaalamu inaitwa filiosynasciy kama nimekosea mtarekebisha. Movement ya sperm ikiwa ime distrust itasababisha uume kupinda either kushoto au kulia...

Hivo kufanya mapenzi wakati wa period kuna faida na hasara inatagemea ww unatakaje.

Ndio maana watu waliopinda uume ukifatilia ni wale wanaopenda kuingilia wenzao wakiwa bleed..
 
Acha wenge hata wale ambao wanatumie Dawa au sindano za kuzuia mimba damu huwa inatoka bila wao kujua.

Ilinikuta hiyo na demu akanichana ukweli.

Kwahiyo huwenda ikawa period au anatumia sindano kwahiyo acha uwoga Dogo letu.
 
Unaonekana huna uzoefu na masuala ya uchakataji wewe. Ukiwa mchakataji nguli hayo ni mambo ya kawaida huwezi kukosa kukutana nayo from time to time. Usijali utazoea tuu..
 
Hii elimu ndiyo naijua leo aisee, samahani nje ya mada je kuna madhara gani mwanamke kunyonywa sehemu za siri?
 
Hii elimu ndiyo naijua leo aisee, samahani nje ya mada je kuna madhara gani mwanamke kunyonywa sehemu za siri?
Oky swali zuri sana madam..
Unajua kunyonya na kunyonywa yote ina madhara japo kwa mnyonyaji ndio ana chance kubwa sana ya kupata madhara ..

Katika mwili sehemu yanye microorganisms wengi zaidi ni kinywani sasa unapofanya discharge ya mdomo na sehemu za zili hii inasababish kuhamisha wale microorganism na hii huweza kuleta infection za kawaida tu.

Kwa mdada kupata madhara inawezekana endapo tu kule chini kulikua dry yaani mtu ujafanyiwa romamce kutoa ile fluid mwenzak akazama mazima hapa sasa kuna shida na utapata infection desease mfano fungus,

But kama kutakua kuna moisture ni ngumu sana kupata infection kwani kuna kitu kinaitwa acidic na alkalinity degree ambayo kila microorganisms ina specific yake...

Ni hayo japo kwa uchache
 
Asante sana nimekuelewa mkuu, je kuna madhara mwanamke kunyonya uume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…