Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mwanamke aliyeko period?

Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mwanamke aliyeko period?

Kwa elimu yangu ndogo ya biology.. advanced biology

Mkuu ni sahihi kabisa ila kuna uwezekano wa wewe kupata hormon za mtoto wa kike ambaz kitaalam zinaitwa FSH au follico stimulate hormone..

Utafanya mapenzi vzr tu ila sasa ile FSH itakuwa discharge kipindi una ejaculate hii itapelekea kupata abnormal movement ya sperm zako..

Hali hii kitaalamu inaitwa filiosynasciy kama nimekosea mtarekebisha. Movement ya sperm ikiwa ime distrust itasababisha uume kupinda either kushoto au kulia...

Hivo kufanya mapenzi wakati wa period kuna faida na hasara inatagemea ww unatakaje.

Ndio maana watu waliopinda uume ukifatilia ni wale wanaopenda kuingilia wenzao wakiwa bleed..
Mkuuu mbona mm sijawai ingilia mtu akiwa period lkn uume umepinda. Na hiii ni kwa sababu pichu na trouser so dudu I naenda upande
 
Mkuuu mbona mm sijawai ingilia mtu akiwa period lkn uume umepinda. Na hiii ni kwa sababu pichu na trouser so dudu I naenda upande
Oky ni sawa kuna kitu kinaitwa physical urethra lymphoma damage ndio hyo inasababishwa na uvaaji wa boxa au pichu ka unavaa ya kubana..

Niliyozungumza juu pale ni tofauti na hii
 
Hololo umekua unaleta mada za ajabu ajabu...
Mara mtu mwenye korodani moja
Yote haya ni kujifunza mkuu,wapo wengi wenye shida kama hizo na hawajui wapi watapata ufahamu na ushauri. Naitumia jf Kama platform ambayo naamini watanzania wengi wanaitumia, hivyo topic zangu zinawafikia wengi wenye shida na changamoto mbalimbali Kama hizo na kupitia comments za wadau wanapata ufumbuzi

Kiuhalisia topic zangu hazina uhusiano wa moja kwa moja na maisha yangu binafsi ila Kuna watanzania wenzangu wanapitia changamoto hizo na wanapata ahueni au nafuu au ufumbuzi wa shida zao kupigia threads zangu

Mimi ni kioo

I'm sorry Kama huwa nakukwaza
 
Hamnashida hyoo skuiz kunawanawake niwakavu sana kwahyo ili uenjoy inabidi kusubir aingie period ndiouichape
 
Wakuu,

Yamenitokea

Kuna Dem mmoja mtaani kwetu nimemfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio,baada ya mwaka na nusu hivi akanikubalia

Katika hekaheka akanizawadia tunda,bahati mbaya nae alikuwa hajui kuwa period inaingia hiyo siku

Nilipoanza shughuli nimejikuta nalowa ghafla,kutazama hivi ni damu ya period

Wakuu nifanyaje???
Cc Binti Sayuni03
Ulitakiwa kuutoa mtalimbo,uuoshe vizuri na utulie huku unaongea nae,pia naye ajisafishe na mpange siku nyingine ya mechi
 
Ufabyaje? Endelea, ichape mpaka zikauke ukitoka kama simba vile kwenye shingo la swala.
 
Vizr sna kwa swali..
Oky ipo hvo kuna maneno ya vijiweni kuhusu sijui mara mtu kupata kansa ya koo..
Mara kupata vidonda... Hii si kwa sababu ya kunyonya tu..
Issue za madhara ya kunyonya uume hii huchangiwa ma usafi wa mwanamke mwenyewe na sio sperm za mwanaume.

Kitaalamu hutakiwi kunyonya uume baada ya kufanya mapenzi kwani hii ndio hupelekea kuleta shida.

Nazani hapo ushapata jibu. Sperm ni protein kama protein zingine ikatokea bahati mbaya ukameza sio kwamb utapata madhara hapana even hata HIV uwezi pata kwa haya maji maji yanayoitwa sperm.

Kunyonya uume kuna madhara kama tuwanamke atakua anashida either fungus, au STIs nyingine
Hapa sasa nina amani
 
Sa
Yote haya ni kujifunza mkuu,wapo wengi wenye shida kama hizo na hawajui wapi watapata ufahamu na ushauri. Naitumia jf Kama platform ambayo naamini watanzania wengi wanaitumia, hivyo topic zangu zinawafikia wengi wenye shida na changamoto mbalimbali Kama hizo na kupitia comments za wadau wanapata ufumbuzi

Kiuhalisia topic zangu hazina uhusiano wa moja kwa moja na maisha yangu binafsi ila Kuna watanzania wenzangu wanapitia changamoto hizo na wanapata ahueni au nafuu au ufumbuzi wa shida zao kupigia threads zangu

Mimi ni kioo

I'm sorry Kama huwa nakukwaza
sasa samahani ya nini hapo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wewe mkuu una degree ya unafiki
 
Yote haya ni kujifunza mkuu,wapo wengi wenye shida kama hizo na hawajui wapi watapata ufahamu na ushauri. Naitumia jf Kama platform ambayo naamini watanzania wengi wanaitumia, hivyo topic zangu zinawafikia wengi wenye shida na changamoto mbalimbali Kama hizo na kupitia comments za wadau wanapata ufumbuzi

Kiuhalisia topic zangu hazina uhusiano wa moja kwa moja na maisha yangu binafsi ila Kuna watanzania wenzangu wanapitia changamoto hizo na wanapata ahueni au nafuu au ufumbuzi wa shida zao kupigia threads zangu

Mimi ni kioo

I'm sorry Kama huwa nakukwaza
😁😁😁wewe ni kioo cha nini mkuu?
 
Back
Top Bottom