Je ni sahihi kufanyia ngono na mwanamke meingine kwenye kitanda ulichokua unalalia na mkeo?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Mke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home.
Je ni sahihi kulala na mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia na mkeo?
 
Kwani kitanda kanunua mkeo au umenunua wewe? Km kanunua mkeo subiria mkeo aje uombe ruhusu ya kugonga manzi nyingine
 
Siku ya tatu ndio ugwadu kiasi hicho? Huyo mkeo huwa unamlomba kila siku??
 
Siku ulipoondoka nyumbani mwaka juzi,mkeo nae alikuja akaomba ushauri kama wako,tukamwambia abenjuliwe hapohapo kitandani,baada ya siku mbili alirudi kutushukuru,so, unayotaka kuyafanya sasa mwenzi wako aliyafanya miaka miwili nyuma. We benjuka tu.
 
Amekukimbia sasa si amekuacha,, maswali mengine waulizage wazazi wako watakupa jibu, maana wewe ni mtu mzima siyo mtoto!
 
Kuna mwanamke amekuja kuniungisha MAPANGA yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei cheeee sana hapa ofisini kwangu,.. nadhani ni mkeo mkuu,.. watch out ❗📌📌
 
Mke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home.
Je ni sahihi kulala na mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia na mkeo?
hapana sio sawa kabisa,kagongee stoo au chooni
 
Mke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home.
Je ni sahihi kulala na mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia na mkeo?
sio sawa
 
Back
Top Bottom