The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Ndo mada za wabongo hizi
My fellow countrymenNdo mada za wabongo hizi
Ndiyo huwa unafanyaga hivyoAcha amlombee hapo hapo sio kesi km hajafumwa
UsithubutuMke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home.
Je ni sahihi kulala na mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia na mkeo?
Uwanja wa mapambanoKitanda ni nini ?
Wewe unataka nikufanyie hivyo? Nimekwambia nikupeleke SerenaNdiyo huwa unafanyaga hivyo
Mmmh😁😁😁🙌Wewe unataka nikufanyie hivyo? Nimekwambia nikupeleke Serena
Ndio hutaki kulala Serena wewe namaanisha peke yako sio na mimi mimi nakulipia tu ulale utoe gunduMmmh😁😁😁🙌