Je, ni sahihi kujifutia taulo la gest?

Je, ni sahihi kujifutia taulo la gest?

Wakuu nipo mda huu gesti. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gesti ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gesti huwaga ni wa kuridhisha?
Nawe uliyeponda kazi ya ualimu na kujifanya matawi hata kuandika "Guest" huwezi unaandika "Gest" inaonekana shule hakuna kichwani pako.
Matukio ya hiyo "gest yako" ya elfu 2000 hadi 15000 ya short time ndio hayafai kujifutia ila ulilala Guest za kuanzia 30,000 na kuendelea unaweza hata kuyachemsha na kuwatafuna mataulo kwani unaweza jua ni utumbo wa Ng'ombe.🥺🥺😁🥺😎🍯☝️🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Sio sahihi, inabidi demu wako aje na kanga au kitenge viwe 2, chako na chake...

Mtumie kuogea tu...

Maana Taulo za gesti zinatumika na watu wengi sio salama...

UZINZI ni dhambi...
Alokwambia Yuko na demu wake gesti ni nani?..
Hizi nyumba watu wanazichukulia vibaya sana bila kujali matumizi chanya yaliyokusudiwa!

Usikariri maisha mkuu
 
Back
Top Bottom