Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Mara ya mwisho mlienda lini kubwbishana gesti[emoji16][emoji16]Sizipendiiiiiii!!
Naenda na vya kujifutia vyangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ya mwisho mlienda lini kubwbishana gesti[emoji16][emoji16]Sizipendiiiiiii!!
Naenda na vya kujifutia vyangu!
Nawe uliyeponda kazi ya ualimu na kujifanya matawi hata kuandika "Guest" huwezi unaandika "Gest" inaonekana shule hakuna kichwani pako.Wakuu nipo mda huu gesti. Nimeoga tayari sasa nahitaji kujifuta. Ila hii gesti ni zile za short time. Mataulo haya naona si salama kwa ngozi yangu nyororo niliyonayo. Je usafi wa Mataulo ya gesti huwaga ni wa kuridhisha?
Alokwambia Yuko na demu wake gesti ni nani?..Sio sahihi, inabidi demu wako aje na kanga au kitenge viwe 2, chako na chake...
Mtumie kuogea tu...
Maana Taulo za gesti zinatumika na watu wengi sio salama...
UZINZI ni dhambi...