sameer0220
New Member
- Nov 10, 2024
- 2
- 0
Je, ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu?
Nimeikuta huku Songea mkoa wa Ruvuma, ikiwa mwenye nyumba anataka kurekebisha rangi au kubomoa na kujenga vyumba vya kisasa inahitajika alipe pesa serikalini
Ili apate kibali je ni sahihi? Au ni sheria mpya?