Je, ni sahihi kumtambulisha Kassim Majaliwa kuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu?

Sasa hivi wizara zote ziko chini ya makaritibu wakuu.Magari yote yamesharudishwa parking pamoja na nyumba za serikali.

Siasa ni ajira ngumu aisee.sababu hakuna waziri aliyemaliza muda wake mwenye uhakika wa kurudi ofisini tena kwa 100%.Ijapo wengine wana asilimia kubwa mfano Kabudi.
 
Kwa ujumla hauna Waziri Mkuu mstaafu Tanzania. Hakuna Waziri yeyote aliyeondoka madarakani kwa kustaafu Bali waliondoka kwa muda wao kuisha. Kwa kingereza they are former Prime Minister and not Retired PMs.
Nimekuelewa mkuu!
 
Mi naona kampa chepuo kwa awamu nyingine
Yaani katika mawaziri wenye uwezekano mkubwa kurudi ni pamoja na huyu Kassim
Hapo mzee baba karusha jiwe gizani na anataka kuwapimia watu watasemaje kwanza kabla ya yeye kujishauri kumfanyia uteuzi
 
Mi naona kampa chepuo kwa awamu nyingine
Yaani katika mawaziri wenye uwezekano mkubwa kurudi ni pamoja na huyu kasim
Hapo mzee baba karusha jiwe gizani na anataka kuwapimia watu watasemaje kwanza kabla ya yeye kujishauri kumfanyia uteuzi
Aliyetambulisha ni mh Msigwa!
 
Nawauliza watu wa itifaki kama ni halali kwa kipindi hiki cha mpito kumtambulisha Waziri mkuu wa awamu ya 5 Mh Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu Mstaafu.

Naomba majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Nafikili Mambo haya tuwaachie wenyewe, hebu tuhumize vichwa na mambo yetu ,vinginevyo tutapata stress bure, mkuu
Hacha wafanye kile wakionacho ni sawa, au sio sawa,
 
Mh.Lowassa ndiye si MSTAAFU kwani hakumaliza miaka 5....
 
Kwa ujumla hauna Waziri Mkuu mstaafu Tanzania. Hakuna Waziri yeyote aliyeondoka madarakani kwa kustaafu Bali waliondoka kwa muda wao kuisha. Kwa kingereza they are former Prime Minister and not Retired PMs.
Kwani Retirement in Swahili ni nini kamanda wangu wa 95 KJ?!!
 
Nafikiri wangetumia neno Waziri mkuu aliyemaliza muda wake.

Kwa mtazamo wangu kustaafu ni kufikia tamati ya jambo na hauendelei nalo tena.

Mtu alistaafu soka, anachana kabisa na mashindano ya kabumbu, harudi tena.

Au unamaoni gani bwashee johnthebaptist ?
 
Nawauliza watu wa itifaki kama ni halali kwa kipindi hiki cha mpito kumtambulisha Waziri mkuu wa awamu ya 5 Mh Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu Mstaafu.

Naomba majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Mstaafu aliyestaafu leo asubuhi maana hadi jana media ziliripoti Waziri Mkuu akagua kiwanja kitakachotumika kumuapishia Rais mteule ndugu Magu
 
Ndalichangu
 
Pia Katiba inajichanganya kwa kusema mara Bunge linapovunjwa Wabunge wanakoma kuwa Wabunge, na bila ubunge mtu hawezi kuwa waziri wala waziri mkuu, ikiwemo Urais!! Yaani Rais nae anakoma kuwa Rais.
Imetoa exception kwa Spika na Rais.
 
Nakubaliana na wewe bwashee!
 
Yani uongozi wote unarudi vile vile kila mhimili na waziri mkuu ni yule yule ndiyo maana hata mtaani ni kama hakuna mapya yanayoongelewa.

Hongera wamarekani. Sisi tumeamua kuvuka na janga letu kwa miaka mingine mitano.
 
Nyie mlishindwa kuiba kura kama wapinzani wenxenu wa kwa Trump?
 
Mh.Lowassa ndiye si MSTAAFU kwani hakumaliza miaka 5....
Hata John Malecela hakumaliza miaka 5; alihudumu 1990-94

Salim A. Salim huenda bado ni PM aliehudumu muda mfupi zaidi 24. April 1984-Nov 5, 1985.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…