Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

Ndio ni sahihi kumwambia mkeo halali wa ndoa mshahara wako kwa sababu kutapunguza malalamiko juu ya mahitaji ambayo yako juu ya mshahara wako, ikiwa ni mke mwenye busara itakuwa rahisi kukaa na kupanga matumizi pamoja, na kwa kuwa umekuwa mkweli anaweza naye akachangia kwa kadri anavyoweza au itakuwa rahisi kumshawishi vipato vyenu mvipange pamoja. Ukweli tu wa kipato chako utakuweka huru. Kwa kuwa mwanamume unatakiwa uishi na mkeo kwa akili.... mapato mengine nje ya mshahara ni siri yako!!!
 
Back
Top Bottom