Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako?

Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
Kama huyo ni mkeo halali na mmefunga ndoa kidini na kisheria, maana yake mshahara wako anao uhalali wa 100% sio tu kuujua hata kuuchukua na kuupangia matumizi.
 
Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako?

Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
Ukipata mwanamke kichwa ni ruksa kumwambia mshahara akiwa na akili nidhamu NUNUA HATA KUKU (JOGOO) MPE AENDEE KWA MGANGA KUKUTULIZA KAMA HAUJATULIA.

Ila wanawake wavaa vikuku, vipini kitovuni, watoboa pua, waweka breach kichwani,singomaza,mwanamke mlevi, Malaya usiwaonyeshe kipato
 
Umwambie usimwambie ile budget unaacha kwa mwezi msosi, school bus, pampers, uber, pocket money, kibubu cha family, emergency.. apo hujasema maji, umeme, michango harusi, outings, mavazi familia nzima, school fees, hospital etc havimuhusu kwa namna yoyote ile! Your life speaks for itfself.

atajua tu huyu nigga anachezea 6 digits au 7 digits na kuendelea..
 
kama shemeji yetu yule
 
ahhaha watu mnamapesa
Umwambie usimwambie ile budget unaacha kwa mwezi msosi, school bus, pampers, uber, pocket money, kibubu cha family, emergency.. apo hujasema maji, umeme, michango harusi, outings, mavazi familia nzima, school fees, hospital etc havimuhusu kwa namna yoyote ile! Your life speaks for itfself.

atajua tu huyu nigga anachezea 6 digits au 7 digits na kuendelea..
 
20240802_203732.jpg

Kwa Slip kama hii naanzaje kumficha mwandani/mahbuba/Kipenzi changu...?😂
 
Back
Top Bottom