Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
ndio nataka kujua ikoUkishamwambia nini kitafuata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio nataka kujua ikoUkishamwambia nini kitafuata?
na ni maamuzi ya mtu binafsiSio sahihi tu, ni lazima.
Ndio ni sahihi kumwambia mkeo halali wa ndoa mshahara wako kwa sababu kutapunguza malalamiko juu ya mahitaji ambayo yako juu ya mshahara wako, ikiwa ni mke mwenye busara itakuwa rahisi kukaa na kupanga matumizi pamoja, na kwa kuwa umekuwa mkweli anaweza naye akachangia kwa kadri anavyoweza au itakuwa rahisi kumshawishi vipato vyenu mvipange pamoja. Ukweli tu wa kipato chako utakuweka huru. Kwa kuwa mwanamume unatakiwa uishi na mkeo kwa akili.... mapato mengine nje ya mshahara ni siri yako!!!
Ni vyema ukamjua mtu unayeishi naye,kuna mwingine 1M anaona kama unamiliki uchumi wa mchi,hiyo hiyo atakuoangia matumizi mpaka uchoke,ukimwambia sina hakuelewi.Ndio ni sahihi kumwambia mkeo halali wa ndoa mshahara wako kwa sababu kutapunguza malalamiko juu ya mahitaji ambayo yako juu ya mshahara wako, ikiwa ni mke mwenye busara itakuwa rahisi kukaa na kupanga matumizi pamoja, na kwa kuwa umekuwa mkweli anaweza naye akachangia kwa kadri anavyoweza au itakuwa rahisi kumshawishi vipato vyenu mvipange pamoja. Ukweli tu wa kipato chako utakuweka huru. Kwa kuwa mwanamume unatakiwa uishi na mkeo kwa akili.... mapato mengine nje ya mshahara ni siri yako!!!
Nafikiri hadi umeamua kuingia naye kwenye ndoa, umeshamjua nje ndani.... ila kama ulifuata pesa zake au hali yake bila kumjua itakula kwako na tatizo ndipo linapoanzia..... kuoa usiemjua.Ni vyema ukamjua mtu unayeishi naye,kuna mwingine 1M anaona kama unamiliki uchumi wa mchi,hiyo hiyo atakuoangia matumizi mpaka uchoke,ukimwambia sina hakuelewi.
Mbona sikuhizi huleti saa nzuri.Wengi wao haifai kuwaambia,mimi huwa anaamuaga kunambia tu mambo yake,coz anaona sina mda na hela zake.
Kwani mzee mkeo ulipomuoa ulimdanganya unapokea million 10 wakati unapokea laki tano?Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako?
Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
Ngoja wakuletee experienceNafikiri hadi umeamua kuingia naye kwenye ndoa, umeshamjua nje ndani.... ila kama ulifuata pesa zake au hali yake bila kumjua itakula kwako na tatizo ndipo linapoanzia..... kuoa usiemjua.
Wengi wao haifai kuwaambia,mimi huwa anaamuaga kunambia tu mambo yake,coz anaona sina mda na hela zake.m
Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako?
Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
I second you. Kama umeoa MKE kumwambia ni kheri zaidi kuliko kutokumwambia ila kama umeoa MWANAMKE ndg usithubutu.Ndio ni sahihi kumwambia mkeo halali wa ndoa mshahara wako kwa sababu kutapunguza malalamiko juu ya mahitaji ambayo yako juu ya mshahara wako, ikiwa ni mke mwenye busara itakuwa rahisi kukaa na kupanga matumizi pamoja, na kwa kuwa umekuwa mkweli anaweza naye akachangia kwa kadri anavyoweza au itakuwa rahisi kumshawishi vipato vyenu mvipange pamoja. Ukweli tu wa kipato chako utakuweka huru. Kwa kuwa mwanamume unatakiwa uishi na mkeo kwa akili.... mapato mengine nje ya mshahara ni siri yako!!!
Mashaallah!Ndivyo unavyotakiwa kufanya kwa Mke wako wa ndoa!
Na baada ya kumwonyesha unapaswa kupanga bajeti pamoja.
Ukifanya hivyo Mkeo atakuamini na atakuwa Mwangalifu katika matumizi ya fedha!
Mimi ndivyo navyofanya! Tunaenda benk ku draw pamoja na ndiye anayeshika mkoba na Mimi kadi.
Tuna amani sana na mke wangu! Ugomvi tunausikia kwa majira.