Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mshahara huu au mwingine
Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako?
Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
vibaya ivyoAs a wife, sitaki kuambiwa. Nahofia nisije kuwa na huruma ninapotuma invoice zangu.
sina mshahara bhnaTusiokuwa na mishahara tu comment wap mkuu🏃
Ongeren wenye mishahara ukiwepo mleta madaa
kwahiyo sio lazima?Akiujua atafanya nini?
Akifanya, maana yake yeye ndo kichwa cha familia.
hati ya nyumbaalafu utahonga nini sasa
oh nice wifeMkuu, sahihi ni vile moyo na akili zako zinakuelekeza kutokana na maisha unayoishi na mke wako. Binafsi mume wangu kaniambia, na haijasababisha niache kutoa matumizi kwa maswala ambayo nina uwezo nayo.
ahahaMshahara ni siri kati ya Mwajiriwa na muajiri.
Ukiamua kumfahamisha 3rd party ni option siyo kosa kisheria.
ahaah kwahiyo utaki ata kujuaLabda mshahara wa dhambi