Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

Ndio bwege...sasa wee mkeo akijua mshahara wako she still cant do shiiit to u. Hela yako unatumia unavyotaka mwanawane. Yeye muhimu anapata huduma za msingi ndani ya nyumba
Mimi nilibahatisha mke yaan kimombo wife materials.

Of course Mimi navaa vizuri na nguo zoteee amenunua yeye viatu vikali vyote kanunua yeye anamiliki daycare yake.

Japo tumetoka kwenye different backgrounds Ila tumeweza ku cope tunaendana , tunashirikiana mambo mengi Sanaa.
 
Safi mwanawane lakini hayo yote ni ya ziada muhimu je mbususus yake anakupa mpaka unamwaga ubongo?
Mimi nilibahatisha mke yaan kimombo wife materials.

Of course Mimi navaa vizuri na nguo zoteee amenunua yeye viatu vikali vyote kanunua yeye anamiliki daycare yake.

Japo tumetoka kwenye different backgrounds Ila tumeweza ku cope tunaendana , tunashirikiana mambo mengi Sanaa.
 
Inategemea na kazi unayoifanya na kiwango Cha akili za mwanamke mwenyewe.
Mfano sisi ambao mshahara mda mwingine haumati sana tunaweza kuwambia Ila hatuwezi wambia mapato yetu ya mwezi mzima nje ya mshahara
 
Back
Top Bottom