Je ni sahihi kuoa binti wa mitandaoni?

Yaah inawezekana ntatoa mfano wangu japo bado hatujatimza lengo ila ndo tunaelekea huko:
2020 kuna mrembo mmoja alinifollow IG akawa ana like/kucomment katika instastory zangu kwa sana siku moja nikasema no way! Nikaingia kwa dm yake...
Story za hapa na pale nikaona mbona kama mtoto Ana nifeel ivi.Nikaomba namba chats/voice on watsap zikawa nyingi changamoto ikawa kuonana maana yeye yuko rock city mimi d.salaam huwezi amini...
Mwaka jana siku hiyo kama masihara ilikuwa alhamis..ananiambia yupo njiani anakuja kwangu dar mapenzi haya! Sikuamini kufupisha story...

Mtoto alifika na kwa mwaka almost anakujaga twice per year kwa nauli yake Go&return kwasasa tupo on process za kupelekana kwa wazee labda kabla hatuja pelekana azingue.....

Sikuwahi kuamini kuhusu long distance relationship ya mitandaoni japo wengi wanasema sio mazuri ila mimi nasema ukipata mtu sahihi hutojutia..
 
Hongera.
 
Mkuu mabinti wa mitandaoni si ndo sie sie wa huku mitaani.... Unamuoa tu
"Kipenda roho hula hata nyama mbichi"
 
Hongera kwa kutoa mfano halisi japo hauna picha
 
Lakini si ni binadamu kama ww shida iko wapi au hamtaonana live?.
 
Wewe chukua huyo mwanamke oa..chamsingi pameni afya tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…