avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Mitandaoni ni nchi,mkoa au kabila gani embu tuanzie hapo kabla hatujakushauriHili swali nimeleta kwenu wana JF Kuna kijeba apa alianza kama utani vile, walikuwa wanachat mda mrefu sana na msichana ambae walianza urafiki Facebook lakini hivi tunavyoongea wameonana tayari wana wiki mbili sasa, na jamaa anaanza harakati za kutoa posa. Huyu binti ni mzuri kiasi katoka Songea na huyu jamaa katoka hapa mpwayungu dodoma.