Je ni sahihi kuoa binti wa mitandaoni?

Je ni sahihi kuoa binti wa mitandaoni?

Hili swali nimeleta kwenu wana JF Kuna kijeba apa alianza kama utani vile, walikuwa wanachat mda mrefu sana na msichana ambae walianza urafiki Facebook lakini hivi tunavyoongea wameonana tayari wana wiki mbili sasa, na jamaa anaanza harakati za kutoa posa. Huyu binti ni mzuri kiasi katoka Songea na huyu jamaa katoka hapa mpwayungu dodoma.
Kwani kuna binti asiye wa mtandaoni kwa zama hizi? Labda awe wa kijijini saaaan yani.
 
Back
Top Bottom