Je ni sahihi kuoa binti wa mitandaoni?

Mitandaoni ni nchi,mkoa au kabila gani embu tuanzie hapo kabla hatujakushauri
 
Weeek mbili unatoa posa jamaa
Achunguzwe labda kuna bolt imeachia
 
Unampata mtaan na unakuta ako na
Smartphone app zote anazo
 
Congole Sana mkuu kiukweli changamoto kubwa n kupata mtu sahihi Kwa wakat uliopo

Mm mwenyewe n mtu ambae naogopa Sana
Long distance relationship yani
Ila ukipata mtu sahihi anajielewa
Mbona fresh Tu mnafika mlikotaka
Kufika
 

Linawezekana, ila tatizo la kuanza mahusiano mitandaoni, hayo mahusiano yaweza ishia pia mitandaoni.
 
Linawezekana, ila tatizo la kuanza mahusiano mitandaoni, hayo mahusiano yaweza ishia pia mitandaoni.
Nafkir hii ina sabababishwa na tamaa
Kwa pande zote mbili
 
Congole Sana mkuu kiukweli changamoto kubwa n kupata mtu sahihi Kwa wakat uliopo

Mm mwenyewe n mtu ambae naogopa Sana
Long distance relationship yani
Ila ukipata mtu sahihi anajielewa
Mbona fresh Tu mnafika mlikotaka
Kufika
Uaminifu na kutokua na mawazo negative kuwa: time hii siju ananicheat au laah!ukiondoa hayo mawazo kila mkikutana kama mmeanza relation jana.
 
Unajuaje huyo wa Facebook alikuwa hajiuzi, na saizi almost asilimia mia wadada waliopo mitandaoni wanauza K huo ndoukweli ila wapo indirect sio kama wakimboka
Siku hizi ukitongoza mwanamke yeyote atakwambia ana njaa, hana kodi, simu kioo, kibovu, bibi mgonjwa nk... hao woote wanajiuza.
 
Duuh
 
Mtandanoni ni wapi ?, Kuna mtu anaishi kwenye mtandao ? Hilo swali ungeweza kubadilisha kwenye mtandao ukaweka kanisa / kazini / shule / au sokoni..., Mtandao ni medium kama medium nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…