Je, ni sahihi kuwasalimia watu kwa kusema: “Bwana Yesu Asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo”?

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Katika jamii mbalimbali maneno: “Bwana Yesu asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo,” yamekuwa yakitumika kama salaam za kawaida - wakati mtu anapowasalimia waliohudhuria sherehe, mkutano, ibada nk.

Kwa ujumla, maneno hayo sio ya kusalimiana. Hayo ni maneno ya kumsifu Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tunapaswa kuyataja tunapomsifu Yesu kwa upendo wake, msamaha wake, uponyaji wake nk.

Jambo wasilolijua wengi ni kwamba Mungu hapendi watu wanaolitaja Jina lake huku wanaishi maisha ya dhambi. Katika 2 Timotheo 2:19 tunaambiwa hivi:
“Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii: Bwana awajua walio wake, na kila mtu alitajae jina la Bwana na auache uovu.”

Aya hii inatufundisha kwamba kila alitajaye Jina la Bwana, anapowasalimu wenzake au anapomsifu Yesu, anapaswa kuwa mbali na dhambi au uovu. Anapaswa kuwa mtu anayeishi maisha matakatifu.

Kwahiyo hatupaswi kulitaja jina la Yesu huku tunaendelea kukumbatia dhambi kwa makusudi. Kufanya hivyo ni kumchukiza Mwokozi wetu Yesu Kristo.

Katika Mathayo 15:8-9 tunaanbiwa kwamba kuna watu wanaomheshimu Mungu kwa midomo yao lakini mioyo yao iko mbali naye; yaani ni watu wanaoishi dhambini. Watu wa namna hii Mungu anasema wanamuabudu bure. Kwa maneno mengine, wanamtukuza bure au wanamsifu bure.

Kwahiyo ndugu, kama bado unapiga tungi; kama uongo kwako ni kitu cha kawaida; kama unafurahia uzinzi na wizi; kama hujaamua kutubu dhambi na kumfuata Yesu Kristo kwa moyo wote, ni heri uache kuyatumia maneno hayo mpaka moyo wako utakapokuwa safi. Tumia salaam za kawaida tu: "Shkamooni." "Habari za leo." "Hamjambo?" "Kwema?" Vinginevyo unajiweka matatani bure.
 
Ni nini hasa madhara watakayoyapata watu wanaoishi dhambini na wakati huohuo wanapenda kutamka: "Bwana Yesu asifiwe au Tumsifu Yesu Kristo?" Madhara yameandikwa katika mstari wa 14 wa kitabu cha Isaya 29. Kwa lugha rahisi, mstari huo unaeleza kwamba Mungu atatenda jambo la kushangaza—si la furaha bali la kuwaumbua! Atavuruga fikra za wanaojiona werevu na wenye akili. Watajikuta wamechanganyikiwa. Watagundua kuwa hekima ya mwanadamu haina maana mbele za Mungu.
 
Kwahiyo ndugu yangu, kama bado hujaokoka, unaposema "Bwana Yesu asifiwe," "Tumsifu Yesu Kristo," tambua kuwa Mungu anakuona mpaka moyoni mwako. Anajua maisha yako. Mbele zake unajulikana kuwa wewe ni mtu vuguvugu. Unapenda ya dunia na wakati huohuo unapenda mambo ya kiroho. Ukiendelea kufanya hivyo Mungu atakutapika. Soma Ufunuo 3:15-16.
 
Katika jamii mbalimbali maneno: “Bwana Yesu asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo,” yamekuwa yakitumika kama salaam za kawaida - wakati mtu anapowasalimia waliohudhuria sherehe, mkutano, ibada nk.

Kwa ujumla, maneno hayo sio ya kusalimiana. Hayo ni maneno ya kumsifu Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tunapaswa kuyataja tunapomsifu Yesu kwa upendo wake, msamaha wake, uponyaji wake nk.

Jambo wasilolijua wengi ni kwamba Mungu hapendi watu wanaolitaja Jina lake huku wanaishi maisha ya dhambi. Katika 2 Timotheo 2:19 tunaambiwa hivi:
“Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii: Bwana awajua walio wake, na kila mtu alitajae jina la Bwana na auache uovu.”

Aya hii inatufundisha kwamba kila alitajaye Jina la Bwana, anapowasalimu wenzake au anapomsifu Yesu, anapaswa kuwa mbali na dhambi au uovu. Anapaswa kuwa mtu anayeishi maisha matakatifu.

Kwahiyo hatupaswi kulitaja jina la Yesu huku tunaendelea kukumbatia dhambi kwa makusudi. Kufanya hivyo ni kumchukiza Mwokozi wetu Yesu Kristo.

Katika Mathayo 15:8-9 tunaanbiwa kwamba kuna watu wanaomheshimu Mungu kwa midomo yao lakini mioyo yao iko mbali naye; yaani ni watu wanaoishi dhambini. Watu wa namna hii Mungu anasema wanamuabudu bure. Kwa maneno mengine, wanamtukuza bure au wanamsifu bure.

Kwahiyo ndugu, kama bado unapiga tungi; kama uongo kwako ni kitu cha kawaida; kama unafurahia uzinzi na wizi; kama hujaamua kutubu dhambi na kumfuata Yesu Kristo kwa moyo wote, ni heri uache kuyatumia maneno hayo mpaka moyo wako utakapokuwa safi. Tumia salaam za kawaida tu. Shkamooni. Habari za leo. Hamjambo? Vinginevyo unajiweka matatani bure.
Vyote batili hasa ikizingatiwa kuwa Yesu hayupo na anasifiwa kwanini karne hii ya 21 kama siyo uzwaaazwa? Semeni Father of All asifiwe kwa vile ni baba yenu na siyo Yesu ambaye hakuwa na hata kitegemezi cha kusingiziwa.
 
Watanzania wanajitambua.

No amount of Socio-engineering is going to change that fact.

Watanzania wanajitambua.

Fan Farming has ended. Sasa tunaanza kuona makucha na malengo na matamanio ya kuwa huru😂😂😂

Umbwa mwitu aliyejivika ngozi ya Kondoo.

Kitaeleweka
 
vanity, all is vanity
DR SANTOS
I hear you, and you’re not alone in feeling that way. Even the writer of Ecclesiastes felt that life was meaningless—until he realized the key: “Fear God and keep His commandments, for this is the whole duty of man” (Ecclesiastes 12:13). Life without God truly feels like vanity. But in Christ, life has purpose, peace, and eternal hope.
 
vanity, all is vanity
I believe the phrase “all is vanity” really applies to life that is lived without a true connection to God. But when we say “Praise the Lord” from a pure heart, and live in obedience to Him, our words and actions carry great meaning before God.

On the other hand, if someone lives in sin and uses that phrase merely as a casual greeting, then yes — even that praise becomes vanity.

What are your thoughts on that? Do you believe that spiritual expressions like this still carry weight when our hearts are not aligned with God?
 
Vyote batili hasa ikizingatiwa kuwa Yesu hayupo na anasifiwa kwanini karne hii ya 21 kama siyo uzwaaazwa? Semeni Father of All asifiwe kwa vile ni baba yenu na siyo Yesu ambaye hakuwa na hata kitegemezi cha kusingiziwa.
Lk 14:11
Ajikwezaye atashushwa...
 
Hebu tofautisha dhambi na uovu imesema aache uovu na siyo aache dhambi
 
Katika jamii mbalimbali maneno: “Bwana Yesu asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo,” yamekuwa yakitumika kama salaam za kawaida - wakati mtu anapowasalimia waliohudhuria sherehe, mkutano, ibada nk.

Kwa ujumla, maneno hayo sio ya kusalimiana. Hayo ni maneno ya kumsifu Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tunapaswa kuyataja tunapomsifu Yesu kwa upendo wake, msamaha wake, uponyaji wake nk.

Jambo wasilolijua wengi ni kwamba Mungu hapendi watu wanaolitaja Jina lake huku wanaishi maisha ya dhambi. Katika 2 Timotheo 2:19 tunaambiwa hivi:
“Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii: Bwana awajua walio wake, na kila mtu alitajae jina la Bwana na auache uovu.”

Aya hii inatufundisha kwamba kila alitajaye Jina la Bwana, anapowasalimu wenzake au anapomsifu Yesu, anapaswa kuwa mbali na dhambi au uovu. Anapaswa kuwa mtu anayeishi maisha matakatifu.

Kwahiyo hatupaswi kulitaja jina la Yesu huku tunaendelea kukumbatia dhambi kwa makusudi. Kufanya hivyo ni kumchukiza Mwokozi wetu Yesu Kristo.

Katika Mathayo 15:8-9 tunaanbiwa kwamba kuna watu wanaomheshimu Mungu kwa midomo yao lakini mioyo yao iko mbali naye; yaani ni watu wanaoishi dhambini. Watu wa namna hii Mungu anasema wanamuabudu bure. Kwa maneno mengine, wanamtukuza bure au wanamsifu bure.

Kwahiyo ndugu, kama bado unapiga tungi; kama uongo kwako ni kitu cha kawaida; kama unafurahia uzinzi na wizi; kama hujaamua kutubu dhambi na kumfuata Yesu Kristo kwa moyo wote, ni heri uache kuyatumia maneno hayo mpaka moyo wako utakapokuwa safi. Tumia salaam za kawaida tu: "Shkamooni." "Habari za leo." "Hamjambo?" "Kwema?" Vinginevyo unajiweka matatani bure.

Ukisikia hivyo just siasa siasani hakuna Mungu hapo.

Umeusahau na Salamaleko nayo huunganishwa hapo.

Malaria 2 au nasema uongo?
 
Hebu tofautisha dhambi na uovu imesema aache uovu na siyo aache dhambi
Kwanza fahamu kuwa Biblia imetafsiriwa kutoka kwenye lugha za mwanzo zilizotumika kuandika Biblia: Kiebrania na Kiyunani.
Kwa lugha hizo, uovu ni kutenda dhambi kwa makusudi. Kwa mfano, unajua uzinzi ni dhambi lakini unaendelea tu kuzini. Hapo unafanya sio tu dhambi, bali uovu.
 
Kila mtu ashinde mechi zake kwa maana kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake mwenyewe.
 
Kipi kimetangulia hapo; kulitaja jina au kuacha uovu?
Na mimi nikuulize: kipi kitangulie? Utamke kwanza: "Bwana Yesu asifiwe" halafu ndio uache uovu, au uache kwanza uovu ndio utamke: "Bwana Yesu asifiwe"
 
Katika jamii mbalimbali maneno: “Bwana Yesu asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo,” yamekuwa yakitumika kama salaam za kawaida - wakati mtu anapowasalimia waliohudhuria sherehe, mkutano, ibada nk.

Kwa ujumla, maneno hayo sio ya kusalimiana. Hayo ni maneno ya kumsifu Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tunapaswa kuyataja tunapomsifu Yesu kwa upendo wake, msamaha wake, uponyaji wake nk.

Jambo wasilolijua wengi ni kwamba Mungu hapendi watu wanaolitaja Jina lake huku wanaishi maisha ya dhambi. Katika 2 Timotheo 2:19 tunaambiwa hivi:
“Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii: Bwana awajua walio wake, na kila mtu alitajae jina la Bwana na auache uovu.”

Aya hii inatufundisha kwamba kila alitajaye Jina la Bwana, anapowasalimu wenzake au anapomsifu Yesu, anapaswa kuwa mbali na dhambi au uovu. Anapaswa kuwa mtu anayeishi maisha matakatifu.

Kwahiyo hatupaswi kulitaja jina la Yesu huku tunaendelea kukumbatia dhambi kwa makusudi. Kufanya hivyo ni kumchukiza Mwokozi wetu Yesu Kristo.

Katika Mathayo 15:8-9 tunaanbiwa kwamba kuna watu wanaomheshimu Mungu kwa midomo yao lakini mioyo yao iko mbali naye; yaani ni watu wanaoishi dhambini. Watu wa namna hii Mungu anasema wanamuabudu bure. Kwa maneno mengine, wanamtukuza bure au wanamsifu bure.

Kwahiyo ndugu, kama bado unapiga tungi; kama uongo kwako ni kitu cha kawaida; kama unafurahia uzinzi na wizi; kama hujaamua kutubu dhambi na kumfuata Yesu Kristo kwa moyo wote, ni heri uache kuyatumia maneno hayo mpaka moyo wako utakapokuwa safi. Tumia salaam za kawaida tu: "Shkamooni." "Habari za leo." "Hamjambo?" "Kwema?" Vinginevyo unajiweka matatani bure.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri...
 
Back
Top Bottom