Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Naomba mfano mmoja kwanza ni njia gani bora ambayo haitahatarisha uhai kisha ndiyo nichangie.Je, ni sahihi kwa kijana kujitolea maisha yake kwa ajili ya familia, au kuna njia nyingine bora za kusaidia bila kuhatarisha uhai?