Je, ni sahihi kwa kijana kujitolea maisha yake kwa ajili ya familia, au kuna njia nyingine bora za kusaidia bila kuhatarisha uhai?

Watu humu wako full experiences kila nyanja sasa watu wanahisi JF ni porojo. Mtu ujipange kuanzisha uzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kiswahili ukikichambua ni kigumu ndugu ndo maana wakenya wanakiogopa mahakama 🀣 maana wewe unavyowaza na mwingine anawaza vingine akikuelezea lazima ukubaliane na maelezo yake! Kikubwa tudeal na mada uchambuzi tuwaachie BAKITA
 
Swali kwa swali
Navyojua katika mapambano ya maisha lolote linaweza kutokea haijalishi unapitia njia gani ndiyo maana nimetaka kujua ni kazi gani ambayo utafanya na isikuhatarishie maisha? Mfano mtu unaweza kuwa umesoma vizuri sana na ukapata kazi nzuri ya ofisini ukalipwa vizuri tu lakini unaweza kukuta kuna watu wanakuwinda kwa bunduki na hata sumu wakuue wakiamini uwepo wako hapo ulipo unawazuia wao kufanikisha mambo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…