Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Kwahiyo wanao fanya hivyo mbele za watu wanakosea?Hapana, lakini ni kulingana na mazingira, sio mbele za watu
Mimi sinyonyeshiKama unaona haifai si acha kunyonyesha au unataka itungiwe sheria?
Ni sahihi wewe kula hadharani?View attachment 3077317
Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume.
Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila kuficha au kusitiri vifua vyao, mfano katika vyombo vya usafiri au sehemu zenye mikusanyiko ya watu.
Ni haki ya mtoto kupatiwa maziwa pale atakapo hitaji, lakini sidhani kama sababu hii ndyo inahalalisha mwanamke kutoa ziwa mahali popote.
Kwa walio na dini au wasio na dini wote wanafahamu kifua cha mwanamke ni sehemu nyeti na haipaswi kuonekana hovyo.
Je, ni sahihi kunyonyesha mahali popote kwa kisingizio cha kumpa mtoto haki yake?
Je, kifua cha mwanamke kina thamani pale ambapo hajazaa na akizaa thamani hiyo inapotea na anaweza kuonyesha kifua chake mahali popote?
Mindset yangu ni kwamba wanawake wanapaswa kusitiri sehem zao nyeti hasa wakiwa maeneo yenye mikusanyiko ya watuUkimtazama mwanamke katika jicho la chombo cha starehe hakuna atachovaa, hakuna atachofanya hautatamani. Badili mindset kwanza.
Ndio, maziwa hayatakiwi kuonekana na mtu yeyote, tofauti na mume wakeKwahiyo wanao fanya hivyo mbele za watu wanakosea?
Ni sahihiNi sahihi wewe kula hadharani?
Tuanzie hapo
Sasa unalalamika nini wakati wenye kunyonyesha hawaoni shida.Mimi sinyonyeshi
Lakini sio wote wanaofanya matangazoInategemea aina ya nyonyo kimuundo...wakati mwingine ni tangazo la biashara
Sijalalamika ila nimeulizaSasa unalalamika nini wakati wenye kunyonyesha hawaoni shida.
Kwa kawaida maziwa ni mojawapo ya Sehemu za siri, mmama anaponyonyesha anatakiwa kukaa mbali na watu, au wanaumeNi sahihi wewe kula hadharani?
Tuanzie hapo
Kama mama yangu alifanya hivyo hadharani basi alikoseaWewe ulinyonyeshwa hadharani afu Leo unajidai mjuaji? Utatamani hadi mbuzi.
Haki ya mtoto haihalalishi mama yake kukaa uchi mbele za watuDaladala iliyojaa mpaka inzi hapati nafasi ya kupita, dada mtanashati anamnyonyesha mtoto wake. Ni haki ya mtoto kwani analia njaa.