Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

Nadhani ni mind set, (mitizamo tu) vinginevyo mimi sioni kama kuna tatizo ni chakula cha mtoto
 
Wewe unaweza ruhusu mke wako anyonyeshe mtoto na kuachia kifua wazi mbele ya wazazi wako?
Mila haziruhusu lakini kuna mambo mengi ya kuyarekebisha kwenye jamii, lakini jamii zetu zimenyamaza, (there many burning issues society have failed to create methods that will help to overcome them), silence surrenders public responsibility
 
Kwahiyo wewe unaona ni sawa mke wako akikaa kifua wazi mbele ya wazazi wako?
 
Sasa mtoto ake na njaa kisa akuogope wewe.
Tatzo huelewi na una kichwa kigumu.

Nimesema mtoto lazima apewe chakula, lakini ni busara kama Mama yake atafunika na kutoruhusu stranger's waone kifua chake.
 
Tatzo huelewi na una kichwa kigumu.

Nimesema mtoto lazima apewe chakula, lakini ni busara kama Mama yake atafunika na kutoruhusu stranger's kuona kifua chake.
Afunike mtoto akose hewa mzee we vipi.Anatakiwa atoe Nyonyo dogo akamatie.
 
Jamii zetu za Afrika
Narudia:

Kwahiyo wewe unaona ni sawa mke wako akikaa kifua wazi mbele ya wazazi wako?
D
Narudia:

Kwahiyo wewe unaona ni sawa mke wako akikaa kifua wazi mbele ya wazazi wako?
Huo ni mtizamo wa kifikra yaani akili zilizofungwa,( closed minded), mama anaye nyonyesha hunyonyesha popote pale, maziwa ya mama ndiyo chakula chenye virutubisho vingi
 
Jamii zetu za Afrika

D

Huo ni mtizamo wa kifikra yaani akili zilizofungwa,( closed minded), mama anaye nyonyesha hunyonyesha popote pale
Una uhakika waafrika pekee ndyo wana tamaduni za aina hiyo?
 
View attachment 3077317

Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume.

Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila kuficha au kusitiri vifua vyao, mfano katika vyombo vya usafiri au sehemu zenye mikusanyiko ya watu.

Ni haki ya mtoto kupatiwa maziwa pale atakapo hitaji, lakini sidhani kama sababu hii ndyo inahalalisha mwanamke kutoa ziwa mahali popote.

Kwa walio na dini au wasio na dini wote wanafahamu kifua cha mwanamke ni sehemu nyeti na haipaswi kuonekana hovyo.

Je, ni sahihi kunyonyesha mahali popote kwa kisingizio cha kumpa mtoto haki yake?
Ukiangalia tamaduni za kiafrika mwanamke kuacha maziwa nje sio ajabu kabisa, angalia utamaduni wa kimakonde wa mabinti kuchezwa wanaachwa kifua wazi Chuchu konzi zinaonekana waziwazi, ila chini kunafichwa vizuri, kwa wazungu utaona chini hawana shida nako ila juu wanaficha sasa sijajua kama ni utamaduni au ni nini.

Kwenye suala la kunyonyesha mama hana maamuzi nalo huwa anatimiza matakwa ya mtoto popote atakapokuwa labda tu wajitahidi kuficha na kitenge au bebishoo lakini kwamba wataacha kunyonyesha hadharani hilo haliwezekani
 
Au mjomba mke wako katoa nyonyo hadharani nini kamnyonyesha dogo.
 
kwamba wataacha kunyonyesha hadharani hilo haliwezekani
Kweli hilo haliwezekani na lazima mtoto apewe chakula mahali popote, ila Mama afunike kifua chake kwa lengo la kutunza heshima yake.
 
Ukiangalia tamaduni za kiafrika mwanamke kuacha maziwa nje sio ajabu kabisa, angalia utamaduni wa kimakonde wa mabinti kuchezwa wanaachwa kifua wazi Chuchu konzi zinaonekana waziwazi, ila chini kunafichwa vizuri, kwa wazungu utaona chini hawana shida nako ila juu wanaficha sasa sijajua kama ni utamaduni au ni nini.

Kwenye suala la kunyonyesha mama hana maamuzi nalo huwa anatimiza matakwa ya mtoto popote atakapokuwa labda tu wajitahidi kuficha na kitenge au bebishoo lakini kwamba wataacha kunyonyesha hadharani hilo haliwezekani
Good 👍 thinking
 
Back
Top Bottom