GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia Maswali mengi Vichwani wale Binadamu Wachache sana tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu.
Je, tukihisi kuwa Maamuzi ya Kiserikali (ya Kiuteuzi na ya Kutengua) yaliyofanyika leo (Sikukuu ya Pasaka) yana Lengo ya Kufunika Msimamo wa Makamu wa Rais alioutoa leo wa Kupinga Ushoga nchini Tanzania ambao mpaka GENTAMYCINE naandika huu Uzi bado sijasikia tamko la Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tutakuwa tunakosea?
Je, GENTAMYCINE na Wachache tuliobarikiwa Akili Kubwa tukihisi kuwa huenda Maamuzi ya Kiserikali (ya Kutengua na Kuteua) yamefanyika Makusudi leo ( Sikukuu ya Pasaka ) ili Kufunika Hotuba mbalimbali za Viongozi wa Dini za Kukemea Mambo ya Misingi ili Media ya Tanzania (ambayo nayo kwa bahati mbaya imeshakubali kuwekwa Mfukoni na Mamlaka) Kesho (Easter Monday) wote waje na Taarifa ya Rais na za Wengine ziwekwe Kapuni (zisiripotiwe kwa ukubwa na uzito) huo tutakuwa tunakosea?
Endeleeni kudhani Tanzania hakuna Watu wenye Akili na Maarifa mengi kuwazidi wenye Honorary Doctorates ambazo nazo pia haziwastahili, ila zimetolewa Kinafiki tu na Kujipendekeza (Kujikomba) Kwao.