Je, ni sahihi kwa Rais kufanya Maamuzi ya Kiserikali katika Sikukuu Kubwa za Kiimani?

Serikali Haina dini hata ikitaka kula kitimoto itakula tu
 
Serekali Haina dini , take it easy, acha udini mkuu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
shida iko wapi?
 
Kwa maamuzi haya yaliyofanyika siku ambayo wewe unapaswa kutubu dhambi zako jua yamefanyika kwa baraka za Mwenyezi Mungu!
 
Unashangaa hivyo? Yuko kwenye funga, ngoja funga iishe utaona tumbuatumbua kwa wale wadokozi wa fedha za umma. Ila hii ya kutengua wakati wa sikukuu haijakaa vizuri, angesubiri sikukuu ipite afanye yake
 
Kuna magazeti ya leo yameipa habari hii kichwa kikubwa wino mweusi huku habari za watumishi wa mungu na kukemea kwao kote ushoga zimeishia kuandikwa vichwa vidogo kana kwamba hazina uzito kwa taifa
 
Na wewe unajihesabu una akili? Huna tofauti na Mpwayungu. Pambana na maisha we huwezi kumshauri rais.
 
Shangaa kuna habari nyingine hata haina hadhi ya kuandikwa ukurusa wa mwanzo wa magazeti imepewa promo, ni habari ya yule sheikh anayeendesha mashindano ya kusoma na kukariri kitabu chao kutoa offer kwa vijana 50 wasio na uwezo wa kutoa mahari watakapohitaji kuoa. Sasa suala la kuoa nalo ni la kupewa coverage kwenye front page za magazeti? Kijana gani huyo mzembe kiasi hicho akaozwe na kulipiwa mahari, huyo mwanamke si ataleta dharau kwa mume wake kwa kumuona hana uwezo mpaka asaidiwe kulipa mahari, je ataweza kumudu kutunza familia? Halafu huyo sheikh yuko tayari kulipia mahahari hata vijana wasiokuwa wa dini yake wakijitokeza kuhitaji huo msaada wa mahari kisha wakafunge ndoa kwa taratibu za imani na dini zao?
 
Mkuu
Pitia uzi huu ndio utabaini tuna mtu wa aina gani. Hapo ikulu hawapo pamoja kuna wawili wanamisimamo inaendana na wananchi lakini kuna mmoja mwenye kiti kikubwa ana msimamo wa ughaibuni
Tazama kilichosemwa hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/kumtoa-nyoka-pangoni.2084602/
 
Unashangaa hivyo? Yuko kwenye funga, ngoja funga iishe utaona tumbuatumbua kwa wale wadokozi wa fedha za umma. Ila hii ya kutengua wakati wa sikukuu haijakaa vizuri, angesubiri sikukuu ipite afanye yake
Rais Samia anatudharau sana Moyoni Wakristo, ila Usoni mwake Kinafiki kabisa anajifanya Kutupenda mno.
 
President hapangiwi sawa.Na ndio maana kafanya
 
We no longer have a Strong and Serious Media while We're also very Unfortunate to have a Head of State who is incompetent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…