EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata maubo huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtuckudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?
Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu, wanawake hawana huruma na mali za wanaume, ni kama majini hivi, khaa!! Ona lisura lake huyu Sarah, kama shetani limetumwa!
Katika hili serikali iingilie kati, haiwezekani mtu anaejitumankwa nguvu zote ahujumiwe na mgeni wazi wazi, hibi ingekuwa mwanamke wa kiTz kaenda kufungua kesi kama hii Italy angesikilizwa, tulindane dhidi ya hujuma toka nje ya nchi..; huyu Saraha mbona hakwenda kwa muuza chipsi tandale bali kamfuata harminize, alifuata nini kama sio pesa?!
Link hapo chini inamaelelezo yote
Kataeni ndoa kumbatiweni