Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harmonize ndio alikuwa anawezeshwa na Sara financially mkuu sema kwa ujinga wa harmonize akawa anamcheet Sara na anaonga mademu wa kibongo na Ndio maana tangu aachane na Sara akaja kukutana na mtoto wa mjini kajala kafilisiwa SanaWakati anawekeza kwake, yeye Harmonize alikuwa anawekeza kwa nani?
Prenuptial agreement ni mkataba wanaoingia watu wawili wenye nia ya kuingia katika ndoa unaoelezea makubaliano ya mgawanyo wa mali walizonazo pale ndoa itakapaofikia ukomo. Kibongo bongo ukishaleta hili jambo kuna uwezekano mkubwa wa kuibuka mzozoMkuu ebu fafanua kdgo kidogo kuhusu hiyo pre- nups agreement
pre-nups ndo dili, sijasoma sheria lkn kwa ufaham wangu mdg na utafiti nmeona kila tatizo linalotengenezwa na sheria basi lina solution humohumo kwenye sheria, na hio ndo kazi ya mawakili kuspin hadi kugeuza mambo.Kuna kitu kinaitwa pre-nups agreement. Inadidi tukijifunze hiki kitu.
Tanzania haifanyi kazi hiyooKuna kitu kinaitwa pre-nups agreement. Inadidi tukijifunze hiki kitu.
Halafu ukute umewafuga wanne wakikugeuka daadeki! Mmoja kizungumkuti; wanne ni balaa. Dunia imebadilika.Angalia na watu wenywe bado utoto mwingi wa kutafuta public attention kila siku kujipost unafikria hyo ndoa wataweza kweli🤣.
Ndoa inataka ushamaliza utoto wote hata Diamond bado utoto mwingi hawezi ndoa na anajijua kabisa...Ndoa sio rahisi wakina wolper na lulu wametulia wanaangalia Maisha wameweka utoto pembeni
Watu kama akina majizzo hawajaingia kwenye pre nup kweli?Tanzania haifanyi kazi hiyoo
Pre nup
Ova
Huu ni ukweli sarah ndo alikuwa anamuweka mjini harmonize ndo maana sahiv anadata pesa imeishaWatu hawajui tu huyo harmo alikuwa marioo kwa sarah dada wa watu anataka mgao wake yeye analeta uswahili. Sio wanawake wote wanaingia kwenye ndoa ni makapuku wengine wako vyema na wanawasaidia waume zao.
Na huo ndo ukweliHuyo dogo alibebwa sana na Sara sema kwa tamaa zake akamkimbiza. ila % ya mali za Konde zimetokana na huyo mwanadaa. arudishe mali za watu. dunia inaenda kwa vielelezo, kama kashinda kesi maana yake ana nyaraka za kumiliki hizo mali
Angezaa sasa, huo ndio msaada wa kweli unaweza kumpa mwanaume..Watu hawajui tu huyo harmo alikuwa marioo kwa sarah dada wa watu anataka mgao wake yeye analeta uswahili. Sio wanawake wote wanaingia kwenye ndoa ni makapuku wengine wako vyema na wanawasaidia waume zao.
Labda aliitoa harmo si alitangaza huyo bibie ni mama kijacho...Angezaa sasa, huo ndio msaada wa kweli unaweza kumpa mwanaume..
Sasa unaona ulivyo mpuuzi,Itakuwa watu humu ndani hamumjui Sarah, Sarah ndio alikuwa anampa kiburi harmonize kipesa mama yake Sarah ana mahoteli ya kitalii kama yote Zanzibar, na pia ana hotel za kifarahi italy, harmonize alikuwa akisafiri nchi mbali mbali na yy ndo alikuwa akigharamia, Harmonize alikuwa akienda kucheza makamari casino ni pesa za sarah, magari aliyokuwa anaendesha harmonize ni ya sarah, pesa alizomlipa Diamond ili atoke wcb ni sarah kalipa mostly mali alizokuwa nazo harmo ni za sarah, ndo maana alikuwa ana vimba mno sarah familia yake ni ya kitajiri mno, so na mali nyingi kachuma yy so ni haki yake kupata haki yake.
Aende sasa akaitafute alipoitoa, angekuwa walau amezaa, mwanaume hawezi kupata shida sana, lakini hata hujamzalia halafu unakuja kudai pesa? Kama ni nyumba nitaichoma hata moto tukose wote.., haiwezekani nyumba yangu aje kufugwa mwanaume mwingineLabda aliitoa harmo si alitangaza huyo bibie ni mama kijacho...
Pesa ni za mwanamke sasa!Aende sasa akaitafute alipoitoa, angekuwa walau amezaa, mwanaume hawezi kupata shida sana, lakini hata hujamzalia halafu unakuja kudai pesa? Kama ni nyumba nitaichoma hata moto tukose wote.., haiwezekani nyumba yangu aje kufugwa mwanaume mwingine
Sasa pesa zake kwanini asiende tu bank akazichukue, au kasahau password na signature?Pesa ni za mwanamke sasa!
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata maubo huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtuckudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?
Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu, wanawake hawana huruma na mali za wanaume, ni kama majini hivi, khaa!! Ona lisura lake huyu Sarah, kama shetani limetumwa!
Katika hili serikali iingilie kati, haiwezekani mtu anaejitumankwa nguvu zote ahujumiwe na mgeni wazi wazi, hibi ingekuwa mwanamke wa kiTz kaenda kufungua kesi kama hii Italy angesikilizwa, tulindane dhidi ya hujuma toka nje ya nchi..; huyu Saraha mbona hakwenda kwa muuza chipsi tandale bali kamfuata harminize, alifuata nini kama sio pesa?!
Link hapo chini inamaelelezo yote