Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

Kataeni ndoa kumbatiweni
 
Huyo dogo alibebwa sana na Sara sema kwa tamaa zake akamkimbiza. ila % ya mali za Konde zimetokana na huyo mwanadaa. arudishe mali za watu. dunia inaenda kwa vielelezo, kama kashinda kesi maana yake ana nyaraka za kumiliki hizo mali
 
Unauhakika wametulia .Viache tu ndugu yangu
 
Kabla hujalaumu kitu pata wasaa wa kumfahamu Sarah kwanza, Hajatokea from broke family. Wanamiliki family business yeye na mamaake..... Alimpenda konde akawekeza kwake, so practically here konde alimtumia Sarah. Walivyoachana Sarah lazima adai chake sababu ana mkono hapo.

Sababu ya mihemko mnalaumu wanawake kwa kila kitu, mnadhani wanaume hamkosei? Mnaongea as if wanawake wote wanachangia 0 kwenye familia, Kuna sehemu nyingi tu wanawake pia wamekua victims, ndio maana kuna sheria.

Kikubwa sheria zibadilishwe aliyeprovide more apate mgao more.
 
Wakati anawekeza kwake, yeye Harmonize alikuwa anawekeza kwa nani?
 
Hivi mtu kama Harmonize anatoa ngoma kali zinahit dunia nzima akose mali kabisa, yaani ziwe za mwanamke? Na mali za Diamond ni za nani, za Zari sio?
Mkuu huyo dada ana hela Sana hata hizo range ambazo harmo alimuonga kajala zilikuwa za Sara hata deni la Wasafi la 600m karibia hela yote imetoka kwa sara.Harmonize hela nyingi kakamuliwa na mtoto wa mjini kajala na zimeisha ila kile kipindi yupo na Sara, Sara alikuwa anamwezesha alafu anaenda kuonga kwa kina wolper
 
Jamaa kaongea bila kujua anaongea kitu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…