Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

Inachekesha sana kudhani huyo demu ana hela nyingi hivyo.
Sijui hata km mnayajua maisha yake Italy.
Au hata maisha ya Italy hizo pesa hakuna.labda muwe familia mafioso kweli kweli sio hela za kuuza pizza hapo Zanzibar.
Demu anacheza na fursa tu, angekua tajiri hivyo asingedai chochote

Ndio nawashangaa eti sarah alimtoa hamo alimtoa hamo ni diamond,madeni alisaidiwa kulipa na crdb nadhan unakumbuka alipata dili na crdb
 
Ndio nawashangaa eti sarah alimtoa hamo alimtoa hamo ni diamond,madeni alisaidiwa kulipa na crdb nadhan unakumbuka alipata dili na crdb
Siwaelewi hawa watu huyo demu nae njaa tu ingawa wana biashara hapa na pale Zanzibar lakini sio za kuwa na mil 200+ za kuhonga.
Tulioishi na Waitaliano tunajua
 
Prenuptial agreement MKUU. siku hizi ndoa kuvunjika, usaliti kwenye ndoa ni jambo la kawaida tangu mwezi wa kwanza ndoa sita za watu ninaowafahamu zimevunjika sijui shida ni nini hasa KWA kipindi hiki
Hivi hii Bongo inakubalika kisheria?
 
Sio kweli baba harmonize alisaidiwa na CRDB kulipa na jembe akauza na nyumba hakuna sehemu sarah amemsaidia labda kama sehemu ndogo sikiliza interview ya hamo
Halaf kipindi wanaish walikuwa wamepanga

Mali zipi anadai?
Uliziamini zile tantalila zake pale airport? Jembe alilipa na palikuwa na malipo ya endorsement ya CRDB lakini fungu kubwa lilitoka kwa Sara na ndiyo sababu hata maamuzi ya mahakama yamezingatia hilo.
 
Watz wakiona mtu mweupe wanajua mzungu tu
Sio suala la yeye kuwa mweupe Sara yeye ndio alikuwa anamlea Harmonize ndio maana alivyogundua kamcheat kwa wolper aliandika kwenye insta story yake kwanini mwanaume aridhiki pamoja na kumpa vyote
 
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata maubo huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtuckudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?

Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu, wanawake hawana huruma na mali za wanaume, ni kama majini hivi, khaa!! Ona lisura lake huyu Sarah, kama shetani limetumwa!

Katika hili serikali iingilie kati, haiwezekani mtu anaejitumankwa nguvu zote ahujumiwe na mgeni wazi wazi, hibi ingekuwa mwanamke wa kiTz kaenda kufungua kesi kama hii Italy angesikilizwa, tulindane dhidi ya hujuma toka nje ya nchi..; huyu Saraha mbona hakwenda kwa muuza chipsi tandale bali kamfuata harminize, alifuata nini kama sio pesa?!
Link hapo chini inamaelelezo yote

Nampongeza Sarah. Baadhi ya ndugu zetu wakipata wanajisahau na kupwakia hawa mazeruzeru wasijue wao ni kama wachaga na wakikuyu. Ni pesa babaangu. Mzungu akioa au kuolewa na mwafrika jua kuna anachotatufa si bure. Waangalie akina Tiger wood na wengine wengi waliojiingiza kwenye ujinga huu
 
Sasa nyie wanawake misiwe mnalilia usawa wa 50/ 50 basi, ukiachwa uondoke na kile kilicho cha kwako tu, kama ni gari chukua lenye jina lako kwenye kadi, kama ni nyumba chukua yenye jina lako kwenye hati, kama ni pesa chukua zilizo kwenye akaunti ya jina lako benki
Jiheshimu mimi mwanaume mwanzako labda wewe ndo unageuzwa. Nakuambia leo hii bongo hii. Nimefanyakazi mahakama ya tanzania mpaka polisi, hamna mwanaume aliowahi ku invest million 100 tu kwa mwanamke bongo hii na wakaachana na akamuachia. Hayupo. Kama ni ndoa atadai mali zake na atahonga ili asichukuliwe tu mali zake pona ya dada ni kama amezaaa. Mimi nimesaidia washkaj zangu kupokonya magari waliohonga mpaka nyumba baada ya kuchana. Nimeshuhudia kesi zikiyumbishwa ili mwanamke asiondoke na chochote au walau abaki na nyumba tu kujisitiri kama amezaa pona ya wanawake wote ni watoto. Example moja : dokta mwaka , jacklin mengi. Sasa usisimame hapa mbele ya hadhara kumnanga huyo dada kwa kudai mali zake alizoinvest wakiwa wachumba kwa makubaliano ya biashara hadi wakafunga ndoa. Narudia wanaume dar acheni kutegemea pesa za wanawake zina laaana hizo hujui katoa wapi na hautaheshimika kamwenkwa pesa za mwanamke. Kama hamna mwanaume bongo aliomwachia mdada hata million 100 alizohonga kama mwanaume jitafakari sana kushadidia mdada kuacha 700 zake kisa mapenzi . 50/ 50 sio mimi kukuachia pesa zangu wewe ukatumbue na watu wengine kisa mimi nina hela . Wanawake wananyangwa mali, viwanja hadi pesa kuanzia na familia hadi wenza wakiachana. Hebu kuwa realistic kwenye hili suala . Pesa tafuta za kwako umekopeshwa lipa mahusiano sio kutiana umaskini
 
Thanks for this brilliant clarification.
 
Kwa mtazamo wangu kama ni habari ya mapenzi tafuta mpenz ukiwa hauko stable financially huyo unaweza kuwa nae hata mambo yakiwa mazuri, lakini habari za kutafuta mpenz ukishakuwa na pesa UTAPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI..
 
Kuna kitu kinaitwa pre-nups agreement. Inadidi tukijifunze hiki kitu.
Haya aliyaweza Michael Jackson.... Naona Sasa hivi super stars wa US wameanza kufanya haka kakitu maana talaka zinawamaliza
 
Tuache mihemko jamani,mbona kila kitu kipo wazi ktk hili?Harmonize mwenyewe alisha kiri kuwa mzungu alikuwa ndio kila kitu kwake haswa pale alipoondoka WCB.

Kwahiyo arudishe mali za watu na atafute zakwake.

Weka ushahidi
 
Hivi mtu kama Harmonize anatoa ngoma kali zinahit dunia nzima akose mali kabisa, yaani ziwe za mwanamke? Na mali za Diamond ni za nani, za Zari sio?
hela ni za demu ndo maana now analia lia,na alichukua advance kubwa toka Ziiki ndo maana kila uchwao anatoa ngoma mpya kumaliza mkataba.

Ogopa sana umepewa advance umekula sasa unatakiwa ufanye kazi.
 
Weka ushahidi
Tafuta wimbo aliomuimbia kajala kipindi kile zilipovuja video zake za utupu kwa paula.Kuna verse aliimba kuwa alikubali kuviacha vya dezo(bure) toka kwa mzungu kisa kajala.

Pia Sikilliza nyimbo ya hamo iitwayo never give up vesi ya pili anaimba,nilimtanguliza Mungu kwa swala,mara ghafla Akaja mzungu sarah,tjank u ma bby u love me u support me I love you too.
Tuweke pembeni mihemko tutaelewana.Arudishe mali za watu.
 
Back
Top Bottom