Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Inachekesha sana kudhani huyo demu ana hela nyingi hivyo.
Sijui hata km mnayajua maisha yake Italy.
Au hata maisha ya Italy hizo pesa hakuna.labda muwe familia mafioso kweli kweli sio hela za kuuza pizza hapo Zanzibar.
Demu anacheza na fursa tu, angekua tajiri hivyo asingedai chochote
Ndio nawashangaa eti sarah alimtoa hamo alimtoa hamo ni diamond,madeni alisaidiwa kulipa na crdb nadhan unakumbuka alipata dili na crdb