Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?

Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu, wanawake hawana huruma na mali za wanaume, ni kama majini hivi, khaa!! Ona lisura lake huyu Sarah, kama shetani limetumwa!

Katika hili serikali iingilie kati, haiwezekani mtu anaejituma kwa nguvu zote ahujumiwe na mgeni wazi wazi, hivi ingekuwa mwanamke wa kiTz kaenda kufungua kesi kama hii Italy angesikilizwa, tulindane dhidi ya hujuma toka nje ya nchi..; huyu Saraha mbona hakwenda kwa muuza chipsi Tandale bali kamfuata Harmonize, alifuata nini kama sio pesa?!

Link hapo chini ina maelelezo yote

Wajinga ndo waliwao, Wacha anyooshwe ili siku watanzania wengine wajingawajinga wajifunze kupitia Kwa huyo makonde
 
Wakati mwanaume anachuma, hausigeli analea watoto, yeye mwanamke huwa anafanya nini? Maana mida mwingine hivi vitu havimake
Sense hata kidogo
Hamna housegirl anaelea mwanao wala kuinua nyumba
Bro. Ukitaka kujua acha mke
Wako …Mtoto uwe unamwacha na dada wa kazi akuleleee na atengeneze nyumba. Ndo utajifunza jambo
1. Mtoto atakuwa na tabia za ajabu kwa kukosa uangalizi
2. Hautendelea maisha sababu hauna msukumo wa mwenza kukupush
3. Hutakuwa na mawazo
Mapana maisha
 
Wakati mwanaume anachuma, yeye mwanamke huwa anafanya nini?
 
Shinda nyumbani ukifanya kazi za hapo huku ukihangaika na watoto ndiyo utapata jibu lake, very simple and straightforward.
Sasa nimeshaajiri mdada wa kazi na watoto wakienda shule wanaandaliwa na mdada, wakirudi wanaogeshwa na kufanyiwa kila kitu na mdada, yeye mwanamke anaenda kwenye shughuli zake kama mimi, sasa wakati mimi nachuma, yeye anakuwa anafanya nini?
 
Wakati mwanaume anachuma, yeye mwanamke huwa anafanya nini?
Kamuulize mamako alikuwa anafanya nini wakati baba yako anaenda kazini. Urudi hapa ulete majibu. Nahurumia watoto wako. Mungu hapaswi kukupa wewe watoto wala mke mpaka utopokua mwanaume mana sasa hivi wewe ni mvulana mdogo kwa namba unavouliza maswali
 
Sasa nimeshaajiri mdada wa kazi na watoto wakienda shule wanaandaliwa na mdada, wakirudi wanaogeshwa na kufanyiwa kila kitu na mdada, yeye mwanamke anaenda kwenye shughuli zake kama mimi, sasa wakati mimi nachuma, yeye anakuwa anafanya nini?
Nasema hivi wewe hao watoto wanaolelewa na dada wa kazi wape miaka mitatu utapata majibu ya maswali unayouliza hapa. Nawahurumia mno watoto wako hawadeserve baba kama wewe usothamini wanawake
 
Ndoa ni hatari sana, mwenzake Diamond ni mjanja, anapiga mimba halafu ananyuti, ukija anapiga tena, kisha ananyuti, sasa nimeanza kujua Diamondi ni akili kubwa sana!
Ndoa sio hatari isipokuwa sisi wanaume ni hatari.
Huwezi kuoa mwanamke anayejielewa na ukaendeleza umalaya ndio maana Zari na Mkenya walimwacha Diamond.

Mharibifu mkubwa wa ndoa ni sisi wanaume kwa 80%

So hatari ya ndoa chanzo kikuu ni mwanaume na mwanamke ni mjibu mapigo wa mwisho.

1. Tatizo la Saraha liko wapi endapo Harmo ndiye alianza kukosa uaminifu?

2. Kudai talaka na mgawanyo wa mali kosa liko wapi? Hujui kuwa Harmo alisapotiwa na Sarah kwa kiwango kikubwa na Harmo ndiye aliyasema kipindi wako pamoja na Sarah? Ulitaka aache mali zake?

3. Nakuona umejaa ubaguzi wa kijenda zaidi kuwa wanawake ni wa kupotezewa nuda na kuachwa bila senti?

4. Hapa muharibifu ni Harmo au ulisikia Sarah ali cheat?
 
Back
Top Bottom