FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #141
Kupuuza ungepiga kimya, ila kwakuwa umeamua kujibu, jibu hojaHakuna hoja yoyote hapo ndugu, nimechagua kukupuuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupuuza ungepiga kimya, ila kwakuwa umeamua kujibu, jibu hojaHakuna hoja yoyote hapo ndugu, nimechagua kukupuuza
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?
Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu, wanawake hawana huruma na mali za wanaume, ni kama majini hivi, khaa!! Ona lisura lake huyu Sarah, kama shetani limetumwa!
Katika hili serikali iingilie kati, haiwezekani mtu anaejituma kwa nguvu zote ahujumiwe na mgeni wazi wazi, hivi ingekuwa mwanamke wa kiTz kaenda kufungua kesi kama hii Italy angesikilizwa, tulindane dhidi ya hujuma toka nje ya nchi..; huyu Saraha mbona hakwenda kwa muuza chipsi Tandale bali kamfuata Harmonize, alifuata nini kama sio pesa?!
Link hapo chini ina maelelezo yote
Hamna housegirl anaelea mwanao wala kuinua nyumbaWakati mwanaume anachuma, hausigeli analea watoto, yeye mwanamke huwa anafanya nini? Maana mida mwingine hivi vitu havimake
Sense hata kidogo
Wakati mwanaume anachuma, yeye mwanamke huwa anafanya nini?Hamna housegirl anaelea mwanao wala kuinua nyumba
Bro. Ukitaka kujua acha mke
Wako …Mtoto uwe unamwacha na dada wa kazi akuleleee na atengeneze nyumba. Ndo utajifunza jambo
1. Mtoto atakuwa na tabia za ajabu kwa kukosa uangalizi
2. Hautendelea maisha sababu hauna msukumo wa mwenza kukupush
3. Hutakuwa na mawazo
Mapana maisha
Shinda nyumbani ukifanya kazi za hapo huku ukihangaika na watoto ndiyo utapata jibu lake, very simple and straightforward.Wakati mwanaume anachuma, yeye mwanamke huwa anafanya nini?
Sasa nimeshaajiri mdada wa kazi na watoto wakienda shule wanaandaliwa na mdada, wakirudi wanaogeshwa na kufanyiwa kila kitu na mdada, yeye mwanamke anaenda kwenye shughuli zake kama mimi, sasa wakati mimi nachuma, yeye anakuwa anafanya nini?Shinda nyumbani ukifanya kazi za hapo huku ukihangaika na watoto ndiyo utapata jibu lake, very simple and straightforward.
Kamuulize mamako alikuwa anafanya nini wakati baba yako anaenda kazini. Urudi hapa ulete majibu. Nahurumia watoto wako. Mungu hapaswi kukupa wewe watoto wala mke mpaka utopokua mwanaume mana sasa hivi wewe ni mvulana mdogo kwa namba unavouliza maswaliWakati mwanaume anachuma, yeye mwanamke huwa anafanya nini?
Nasema hivi wewe hao watoto wanaolelewa na dada wa kazi wape miaka mitatu utapata majibu ya maswali unayouliza hapa. Nawahurumia mno watoto wako hawadeserve baba kama wewe usothamini wanawakeSasa nimeshaajiri mdada wa kazi na watoto wakienda shule wanaandaliwa na mdada, wakirudi wanaogeshwa na kufanyiwa kila kitu na mdada, yeye mwanamke anaenda kwenye shughuli zake kama mimi, sasa wakati mimi nachuma, yeye anakuwa anafanya nini?
Huu ndio ukweli.Si nasikia mali zilikuwa za sarah,ndo mkome kuparamia ndoa
Kama hujajipanga kuolewa ama kuoa bora uache
Ndoa sio hatari isipokuwa sisi wanaume ni hatari.Ndoa ni hatari sana, mwenzake Diamond ni mjanja, anapiga mimba halafu ananyuti, ukija anapiga tena, kisha ananyuti, sasa nimeanza kujua Diamondi ni akili kubwa sana!