FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Inawezekana kweli umesikia au unataka kujua, ukweli ni kwamba soko la K'koo halihami isipokuwa Soko jipya litakalojengwa eneo ilipokuwa Stand ya Mabus ubungo, soko litakalokuwa na maduka 2000+ litakuwa likiuza vitu sawa na vile vya Kariakoo na kutakuwa na extra improvement kwa maana ya access ya bidhaa, infrastructures etc....haya nilimsikia Mkuu wa mkoa wa Dsm Amos Makalla aliainisha alipotembelea eneo hilo mapema week hii!Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwemda hadi Kariakoo, badala yake wataishiantu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, ni mtizamo juu ya hili..
Dar inafaa kuwa na masoko kama Kariakoo 3 katika different locations
Ni sawa, ila hata Stendi ya mabasi imehamishiwa Mbezi Luis kwa mafanikio makubwa sana, jiji linapumua sasa angalau.., japo bado kuna wabishi wanakomaa pale shekilango, ila uhamaji umefanikiwa kwa asilimia kubwaSioni hilo likitokea, Kariakoo ni soko la Afrika mashariki na kati kama sikosei, unalihamisha ili iweje?
Hii tabia yetu ya kuhamisha magoli kila mara ni ukosefu wa ubunifu au shida iko wapi? Boresheni sehemu zingine, fungueni magoli mengine...
Sasa si ndio kuhama kwenyewe huko ndugu yangu? Pale Kariakoo hebu hesabu zile frame uone kama zinazidi 2,000, tena wanauza vitu vile vile..., au kwani kuhama maana yake nini?Inawezekana kweli umesikia au unataka kujua, ukweli ni kwamba soko la K'koo halihami isipokuwa Soko jipya litakalojengwa eneo ilipokuwa Stand ya Mabus ubungo, soko litakalokuwa na maduka 2000+ litakuwa likiuza vitu sawa na vile vya Kariakoo na kutakuwa na extra improvement kwa maana ya access ya bidhaa, infrastructures etc....haya nilimsikia Mkuu wa mkoa wa Dsm Amos Makalla aliainisha alipotembelea eneo hilo mapema week hii!
Hayo ndiyo ninayojua na ambayo nimeyasikia!!
Hizo sizozidi 2000 zinakwenda Ubungo? Au nani kasema hazita operate tena? Unajua maana ya kuhama we gamba?Sasa si ndio kuhama kwenye huko ndugu yangu? Pale Kariakoo hebu hesabu zile frame uone kama zinazidi 2,000, tena wanauza vitu vile vile..., au kwani kuhama maana yake nini?
Umefanya vizuri sana kujibu hivi. Huwa nashangaa sana hii tabia ya watu humu kudandia tu mada bila uelewa na kuanza kukimbilia kulaumu tu.Inawezekana kweli umesikia au unataka kujua, ukweli ni kwamba soko la K'koo halihami isipokuwa Soko jipya litakalojengwa eneo ilipokuwa Stand ya Mabus ubungo, soko litakalokuwa na maduka 2000+ litakuwa likiuza vitu sawa na vile vya Kariakoo na kutakuwa na extra improvement kwa maana ya access ya bidhaa, infrastructures etc....haya nilimsikia Mkuu wa mkoa wa Dsm Amos Makalla aliainisha alipotembelea eneo hilo mapema week hii!
Hayo ndiyo ninayojua na ambayo nimeyasikia!!
Labda kama wanataka kuua dhana nzima ya ukubwa na diversity ya soko la Kariakoo, Hapo Ubungo ni eneo gani linaweza ku-accommodate Kariakoo? Stend ya zamani?! Au kuna mshenzi anataka kuuwa K’Koo ili watu wapangishe fremu anazojenga Ubungo!Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwemda hadi Kariakoo, badala yake wataishiantu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, ni mtizamo juu ya hili?
Video chini ina maelezo ya ziada
Mkuu, kwa common sense yako unaona hilo eneo la Ubungo linatosha maduka yote ya Kariakoo yakihama? Hiyo Kkoo yenyewe haitoshi kwa ukuaji wa biashara na population inayokua. Hapo wanapanua wigo wa mapato na fursa mpya za biashara ndio wanatafuta UbungoSasa si ndio kuhama kwenyewe huko ndugu yangu? Pale Kariakoo hebu hesabu zile frame uone kama zinazidi 2,000, tena wanauza vitu vile vile..., au kwani kuhama maana yake nini?
Mkuu nimekisikiliza kideo mwanzo mwisho sijasikia Kariakoo kuhamishiwa hapo, isipokuwa naona huu ni mradi juu ya mradi.Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwemda hadi Kariakoo, badala yake wataishiantu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, ni mtizamo juu ya hili?
Video chini ina maelezo ya ziada
Wewe unadhani jiji kama Dar kuwa na stand moja kubwa ni sawa? Mimi napita hiyo njia almost daily, stand haijawa overcrowded ni sawa, na wamejitahidi sana kuweka exit na entrance za kutosha kiasi kwamba stand iko okay.Ni sawa, ila hata Stendi ya mabasi imehamishiwa Mbezi Luis kwa mafanikio makubwa sana, jiji linapumua sasa angalau.., japo bado kuna wabishi wanakomaa pale shekilango, ila uhamaji umefanikiwa kwa asilimia kubwa
Kabisa kaka wajenge huko kibaha kongoweInatakiwa moja lijengwe nje huku kabisa huku kibaha ama maili moja la Mana ili pia kuwatoa town
Kariakoo ni kubwa sana ukilinganisha na pale ubungo ilipokuepo stand ya mkoaSasa si ndio kuhama kwenyewe huko ndugu yangu? Pale Kariakoo hebu hesabu zile frame uone kama zinazidi 2,000, tena wanauza vitu vile vile..., au kwani kuhama maana yake nini?