Je, ni sahihi kwa soko la Kariakoo kuhamishiwa Ubungo?

Je, ni sahihi kwa soko la Kariakoo kuhamishiwa Ubungo?

Hii ndio shida isiyotakiwa na itapunguza sana biashara kwa ujumla, limit ya saa 4 mpaka alfajiri ni hasara kubwa sana , malori yanatakiwa kuingia masaa 24 bila limitations zozote ili watu wapige pesa
Hata Kariakoo Malorry huwa yanapakua kontena kuwnzia saa nne usiku hadi Alfajiri, asubuhi , mchana na jioni huwezi kuyaona
 
Mi nadhani we umeelewa tofauti.
Ni kwamba pale Ubungo wanafungua eneo la biashara litalokuwa lina shughuli kama Kariakoo baas.
Huwezi kuihamisha Kariakoo eti ikawe Ubungo ! Wapi na wapi bhana
 
Back
Top Bottom