FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #61
Hii ndio shida isiyotakiwa na itapunguza sana biashara kwa ujumla, limit ya saa 4 mpaka alfajiri ni hasara kubwa sana , malori yanatakiwa kuingia masaa 24 bila limitations zozote ili watu wapige pesaGari za kushusha na kupakia mizigo zitakuwa zinaingia usiku kuanzia saa 4 hadi alfajiri.
Hata Kariakoo Malorry huwa yanapakua kontena kuwnzia saa nne usiku hadi Alfajiri, asubuhi , mchana na jioni huwezi kuyaonaHii ndio shida isiyotakiwa na itapunguza sana biashara kwa ujumla, limit ya saa 4 mpaka alfajiri ni hasara kubwa sana , malori yanatakiwa kuingia masaa 24 bila limitations zozote ili watu wapige pesa
Sema kila wilaya iwe nayo.Dar inafaa kuwa na masoko kama Kariakoo 3 katika different locations