dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Duuu kiko vizuri saizi, hapo kimefikisha 1l/16kmFundi alikiosha osha nikaweka lita 42 nimetembea km 708 kutoka dar hadi arusha bado nazunguka nacho.
Nimeweka dumu la mafuta kwenye buti. mpaka kizime ndo ntaongeza. View attachment 2118399
Nilikuwaga na kagari kama hako kalichoka choka, mafuta ya elf 10 nimetoka tabata naenda masaki, kufika macho pale msasani nakuta wese limekata! Nilidata ila fundi akakasafisha safisha kakapona kidogokilikuwa kimeoza oza, nikakifufua.
Watu wa Chuga na Starlet wapi na wapi? Ndo unadai eti starlet ni legacy Au sijaelewa? Au we msambaa au unadai home Chuga?Mkuu gari mimi natumia harrier na ninaimudu, ishu sio pesa. Ishu ni kwamba huki kigari ni legacy ya Familia maana ndo cha kwanza kwetu ndo maana nikakichukua nikirekebishe nishakirudisha hom arusha.
point yako ni ipi? kwamba ukiwasha starlet arusha haiwaki au kwamba sio gari ya hadhi au vipi. we unatembelea buggati chiron?Watu wa Chuga na Starlet wapi na wapi? Ndo unadai eti starlet ni legacy Au sijaelewa? Au we msambaa au unadai home Chuga?
yaap saivi kanakimbiza ingawa bado kameoza oza.Nilikuwaga na kagari kama hako kalichoka choka, mafuta ya elf 10 nimetoka tabata naenda masaki, kufika macho pale msasani nakuta wese limekata! Nilidata ila fundi akakasafisha safisha kakapona kidogo
Engine imechoka hiyo, nozzle zimetanuka, mafuta yanaserereka tuWataalamu naombeni jibu maana nahisi iinakula sana wese. nikitumia harrier inakula lita 4 kwa 40km, starlet si ndogo ya harrier?
L1/km19Yameisha leo. View attachment 2119261
Naona imefika 804/42=19.14 km/l. badala ya 8km/l. Siyo mbayaYameisha leo. View attachment 2119261
Hiyo ni starlet ya mwaka gani mkuu?Naona imefika 804/42=19.14 km/l. badala ya 8km/l. Siyo mbaya
NinamashakaNaona imefika 804/42=19.14 km/l. badala ya 8km/l. Siyo mbaya
Mkuu naomba uzoefu fundi kakifanyaje?asante sana mkuu, ubaya mafundi wetu hawa maneno mengi wanafanya kazi kwa mazoea na haya mambo yanahitaji ujuzi.
nitamsimamia afanye hizo step.
Watu wakikuona unaulizia mafuta ya gari wanahisi ndio uko choka mbaya. Hapana.Mkuu gari mimi natumia harrier na ninaimudu, ishu sio pesa. Ishu ni kwamba huki kigari ni legacy ya Familia maana ndo cha kwanza kwetu ndo maana nikakichukua nikirekebishe nishakirudisha hom arusha.
Hii elimu mafundi wanayo?Naona imefika 804/42=19.14 km/l. badala ya 8km/l. Siyo mbaya
Alikafanyaje? nataka ujuzi huu usambae kwa mafundi hawaujui.Nilikuwaga na kagari kama hako kalichoka choka, mafuta ya elf 10 nimetoka tabata naenda masaki, kufika macho pale msasani nakuta wese limekata! Nilidata ila fundi akakasafisha safisha kakapona kidogo
Inawezakana wanayo, ila hawafanyi points zote kutokana na mwenye gari kushindwa kumudu gharamaHii elimu mafundi wanayo?