Je, ni sahihi kwa starlet yenye cc1300 kutembea kilomita 8 kwa lita moja ya petroli?

Je, ni sahihi kwa starlet yenye cc1300 kutembea kilomita 8 kwa lita moja ya petroli?

Mkuu gari mimi natumia harrier na ninaimudu, ishu sio pesa. Ishu ni kwamba huki kigari ni legacy ya Familia maana ndo cha kwanza kwetu ndo maana nikakichukua nikirekebishe nishakirudisha hom arusha.
Watu wa Chuga na Starlet wapi na wapi? Ndo unadai eti starlet ni legacy Au sijaelewa? Au we msambaa au unadai home Chuga?
 
Yakiisha weka hesabu hapa km/l.
Yameisha leo.
IMG_20220214_150844.jpg
 
Mkuu gari mimi natumia harrier na ninaimudu, ishu sio pesa. Ishu ni kwamba huki kigari ni legacy ya Familia maana ndo cha kwanza kwetu ndo maana nikakichukua nikirekebishe nishakirudisha hom arusha.
Watu wakikuona unaulizia mafuta ya gari wanahisi ndio uko choka mbaya. Hapana.

Unaweza kwenda Resta ukakuta ugali nyama ni 20k. Lakini hiyo haikuwa bajeti yako hata kama una 2M mfukoni.
 
Nilikuwaga na kagari kama hako kalichoka choka, mafuta ya elf 10 nimetoka tabata naenda masaki, kufika macho pale msasani nakuta wese limekata! Nilidata ila fundi akakasafisha safisha kakapona kidogo
Alikafanyaje? nataka ujuzi huu usambae kwa mafundi hawaujui.
 
Back
Top Bottom