Je, ni sahihi kwa starlet yenye cc1300 kutembea kilomita 8 kwa lita moja ya petroli?

Naona imefika 804/42=19.14 km/l. badala ya 8km/l. Siyo mbaya
Kwenye injini kulikuwa na ki pipe cha kutoa hewa kilikuwa kina leak, kumbe pia injini ikifunguliwa inatoa vipande vivili kuna raba inavibana, mambo mengi ya kiufundi. mi nlikuwa najua kuangalia oil na maji.
 
Naomba na mm uniconnect na uyo fundi wako nami napitia tatizo kama lako, namiliki Toyota cami cc1297 yani inatembea 1l - 9km, naona inakula tofauti na gari zingine za size yake, msaada plz
 
Kesho naenda kufufua maana nilishachoka jamani, daaah.
 
Nimeiwasha kwenye engine nasikia upepo unatoka pia ikiwa parking nikikanyaga Moto mwingi kuna kamliofulani nakasikia. chakachakachaka.
 
Naomba na mm uniconnect na uyo fundi wako nami napitia tatizo kama lako, namiliki Toyota cami cc1297 yani inatembea 1l - 9km, naona inakula tofauti na gari zingine za size yake, msaada plz
pole, upo dar? anza na kucheki ama kubadili oil
 
Mkuu hii formula ni kwa starlet tu au hata kwa gari zingine kama harrier ili kuiongezea ufanisi? Natamani niitumie hii formula
 
Fundi alikiosha osha nikaweka lita 42 nimetembea km 708 kutoka dar hadi arusha bado nazunguka nacho.
Nimeweka dumu la mafuta kwenye buti. mpaka kizime ndo ntaongeza. View attachment 2118399
Kwanini mpaka izime?

Si uliweka mafuta yakajaa, sasa nenda kajaze tena utachukua km ulizotembea utagawanya na lita za mafuta yaliyoingia utajua lita 1 inatumia km ngapi
 
Kwanini mpaka izime?

Si uliweka mafuta yakajaa, sasa nenda kajaze tena utachukua km ulizotembea utagawanya na lita za mafuta yaliyoingia utajua lita 1 inatumia km ngapi
nishaachana nacho.
 
Nimepata 12km/l nielekeze mahali ulipo niko na pingu kabisa hapa😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…