Kigari cha wife wangu kinakula wese kuliko Rav4Inawezakana wanayo, ila hawafanyi points zote kutokana na mwenye gari kushindwa kumudu gharama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigari cha wife wangu kinakula wese kuliko Rav4Inawezakana wanayo, ila hawafanyi points zote kutokana na mwenye gari kushindwa kumudu gharama
Kwenye injini kulikuwa na ki pipe cha kutoa hewa kilikuwa kina leak, kumbe pia injini ikifunguliwa inatoa vipande vivili kuna raba inavibana, mambo mengi ya kiufundi. mi nlikuwa najua kuangalia oil na maji.Naona imefika 804/42=19.14 km/l. badala ya 8km/l. Siyo mbaya
1. Weka mafuta ya taa 1/4l kwenye engine. Badala ya mafuta ya taa unaweza kutumia engine flush
2. Washa gari yako na iache silence kwa dakika 10 au 15
3. Mwaga engine oil yote
4. Fungua sample na isafishe vizuri kwa kutumia mafuta ya taa
4. Baada ya kuisafisha sample irudishie na ifunge vizuri
5. Funga oil filter mpya
6. Weka oil mpya hasa castrol kwenye engine
7. Funga plugs mpya -ziwe original
8. Badilisha fuel filter kwa kuweka mpya
9. Badilisha air filter/cleaner
10. Hakikisha distributor iko set properly
11. Weka petrol -hasa ya total energy
12. Anza kupiga misele
13. Usipopata 20km/l nipeleke kwenye mahakama ya wahujumu uchumi
Nimeiwasha kwenye engine nasikia upepo unatoka pia ikiwa parking nikikanyaga Moto mwingi kuna kamliofulani nakasikia. chakachakachaka.1. Weka mafuta ya taa 1/4l kwenye engine. Badala ya mafuta ya taa unaweza kutumia engine flush
2. Washa gari yako na iache silence kwa dakika 10 au 15
3. Mwaga engine oil yote
4. Fungua sample na isafishe vizuri kwa kutumia mafuta ya taa
4. Baada ya kuisafisha sample irudishie na ifunge vizuri
5. Funga oil filter mpya
6. Weka oil mpya hasa castrol kwenye engine
7. Funga plugs mpya -ziwe original
8. Badilisha fuel filter kwa kuweka mpya
9. Badilisha air filter/cleaner
10. Hakikisha distributor iko set properly
11. Weka petrol -hasa ya total energy
12. Anza kupiga misele
13. Usipopata 20km/l nipeleke kwenye mahakama ya wahujumu uchumi
Surethat's one way to put it, ain't it?
Muda wako wa kumiliki gari ulikua badopole, upo dar? anza na kucheki ama kubadili oil
Mkuu hii formula ni kwa starlet tu au hata kwa gari zingine kama harrier ili kuiongezea ufanisi? Natamani niitumie hii formula1. Weka mafuta ya taa 1/4l kwenye engine. Badala ya mafuta ya taa unaweza kutumia engine flush
2. Washa gari yako na iache silence kwa dakika 10 au 15
3. Mwaga engine oil yote
4. Fungua sample na isafishe vizuri kwa kutumia mafuta ya taa
4. Baada ya kuisafisha sample irudishie na ifunge vizuri
5. Funga oil filter mpya
6. Weka oil mpya hasa castrol kwenye engine
7. Funga plugs mpya -ziwe original
8. Badilisha fuel filter kwa kuweka mpya
9. Badilisha air filter/cleaner
10. Hakikisha distributor iko set properly
11. Weka petrol -hasa ya total energy
12. Anza kupiga misele
13. Usipopata 20km/l nipeleke kwenye mahakama ya wahujumu uchumi
Kwanini mpaka izime?Fundi alikiosha osha nikaweka lita 42 nimetembea km 708 kutoka dar hadi arusha bado nazunguka nacho.
Nimeweka dumu la mafuta kwenye buti. mpaka kizime ndo ntaongeza. View attachment 2118399
Nimepata 12km/l nielekeze mahali ulipo niko na pingu kabisa hapa😅1. Weka mafuta ya taa 1/4l kwenye engine. Badala ya mafuta ya taa unaweza kutumia engine flush
2. Washa gari yako na iache silence kwa dakika 10 au 15
3. Mwaga engine oil yote
4. Fungua sample na isafishe vizuri kwa kutumia mafuta ya taa
4. Baada ya kuisafisha sample irudishie na ifunge vizuri
5. Funga oil filter mpya
6. Weka oil mpya hasa castrol kwenye engine
7. Funga plugs mpya -ziwe original
8. Badilisha fuel filter kwa kuweka mpya
9. Badilisha air filter/cleaner
10. Hakikisha distributor iko set properly
11. Weka petrol -hasa ya total energy
12. Anza kupiga misele
13. Usipopata 20km/l nipeleke kwenye mahakama ya wahujumu uchumi
Nimepata 12km/l nielekeze mahali ulipo niko na pingu kabisa hapa😅