Je ni sahihi kwa Tanzania kuendelea kuwakilishwa na mashombe shombe Big Brother Africa??

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
ni lini watanzania asilia kama kina Mpoki, jide, mpoto, na wengineo wataiwakilisha nchi yetu huko kwenye jumba la big brother??

Hii ni mara ya 4 mfululizo mwanaume shombeshombe (mixed race/multi-racial) amechaguliwa kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother Africa (BBA). Je, kigezo cha DsTV cha mwanaume anayefaa kuiwakilisha Tanzania kwenye BBA ni kuwa lazima kwanza awe ni shombeshombe? Zaidi ya asilimia 90 ya wanaume wa Tanzania ni Waafrika weusi, je miongoni mwa waliojitokeza hakuna wenye vigezo vinavyotakiwa? Ni swali tu na halilengi dhana yeyote ya ubaguzi
 
Wana mvuto hao mashombe na wanauzika kitu colour bana
 
Labda "wallpaper" yao ni kigezo...
 
Ni swali zuri_ingawa lina kila element za kikaburu.
 

Alisha pangwa. Ukusikia kakopeshwa nauli aje bongo kuchukua ticket yake ya BBA
 

this tym watapigiwa kura na mashombe wenzao
 
Ukiachilia mbali vigezo vingine,Labda kigezo cha lugha kinawapa advantage hao shombe shombe .inaonekana contestants wengi wanaongea fluent english na accent inayoeleweka.

Ila sidhani kama kuna shida mana wana damu ya kitanzania kuwabagua haitakuwa poa.cha muimu ushindi.
 
Nafikiri ni kwa ajili ya kizungu, wengi wa mashombe wamelelewa mazingira ya kuongea kizungu hivyo inaaminika itasaidia kufanya mawasiliano Jumbani bila kukwazwa.
 

Sawa kabisa makeda muhimu ni kuwapigia kura watanzania wenzetu washinde tuachane na ubaguzi hautatusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Wazazi wa "mashombe" asilimia kubwa wana-kauwezo hivyo na makinda yao yanaenda shule za "uhakika", hence kimombo kinapanda, hence kuchaguliwa kwa urahisi BBA.... henve .... diy.....
 
Huyu si muwakilishi wa Tanzania, bali ni mshiriki kutoka Tanzania.
:screwy::screwy::screwy:😎:banghead:πŸ™‚
 
Nyie hamna vingamuzi hamkupigia kuwa warumendago
 
Hapo kuna dharau dhidi wa watu weusi,pia elimu yetu imetufanya kiingereza tusikizungumze vizuri.naunga hoja kura apigiwe na mashombe wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…