Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
ni lini watanzania asilia kama kina Mpoki, jide, mpoto, na wengineo wataiwakilisha nchi yetu huko kwenye jumba la big brother??
Hii ni mara ya 4 mfululizo mwanaume shombeshombe (mixed race/multi-racial) amechaguliwa kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother Africa (BBA). Je, kigezo cha DsTV cha mwanaume anayefaa kuiwakilisha Tanzania kwenye BBA ni kuwa lazima kwanza awe ni shombeshombe? Zaidi ya asilimia 90 ya wanaume wa Tanzania ni Waafrika weusi, je miongoni mwa waliojitokeza hakuna wenye vigezo vinavyotakiwa? Ni swali tu na halilengi dhana yeyote ya ubaguzi