Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
No sio hamna replacement but rather for a smooth transition.Unamaana gani hamna replacement?
SijuiMfugale alifikisha mingapi?
Alikuwa na miaka 72 na yupo ofisi ya ummaSijui
P
Hapa wengi wanaopinga kuongewa huku kwa mikataba ni vijana na hao wanaoongezewa ni baba zao, na wao watafikia siku moja wataongezewa wakati huo itakua ni sawa tu kwao ila watoto wao wataona sio sawa.Sijui
P
Since kijazi was appointed as KM wa ardhi bado yuko TANAPA na ameanzisha kazi za kusuluisha mipaka ya Hifadhi na vijiji…. Kw upande wa finance aliyeko ana CPA + Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 10 ambo wana CPA + Master with experience of more than 15years each,,,,, Kw upande wa internal audit aliyeko ana CPA + Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 4 ambo wana CPA + Master degree with experience of more than 12years each,,,,, Kw upande wa engineering aliyeko ana Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 4 ambo wana Master with experience of more than 12years each,,,,,kuna miradi mingi sana ambayo ya ujenzi inasuasua kwa sababu ya kutanguliza advance payments…which in other words is equal to 10%......Pambana na hali yako kwani hao wanaoongezewa wana ujuzi wa kutosha
Siyo suala la organization husika bali kukosa kibali cha kuajiri kutoka serikali kuu.Kwa hiyo unataka kusema kwamba hiyo organization ni poor kiasi kwamba imeshindwa kuwa train watu wake kiasi cha kuongezea watu mikataba?
For any general rules, there are some exceptional to the case, that was exceptional!.Alikuwa na miaka 72 na yupo ofisi ya umma
Sasa umeniamisha kuwa wewe ni mpiga majungu mkuu. Pigana na hali yako usije kufa kwa usongo wa mawazo!Since kijazi was appointed as KM wa ardhi bado yuko TANAPA na ameanzisha kazi za kusuluisha mipaka ya Hifadhi na vijiji…. Kw upande wa finance aliyeko ana CPA + Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 10 ambo wana CPA + Master with experience of more than 15years each,,,,, Kw upande wa internal audit aliyeko ana CPA + Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 4 ambo wana CPA + Master degree with experience of more than 12years each,,,,, Kw upande wa engineering aliyeko ana Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 4 ambo wana Master with experience of more than 12years each,,,,,kuna miradi mingi sana ambayo ya ujenzi inasuasua kwa sababu ya kutanguliza advance payments…which in other words is equal to 10%......
hivi mnajua kuna mkaguzi mkuu wa ndani mmoja alikuwa very strong by then….lakn due to high power of kijazi had by then ….link…..allan kijazi to his brother john kijazi to jpm here…….alitolewa tanapa na kupelekwa halimashauri ya liwale na akaambiwa ni uhamisho wa kawaida…..then ndiyo huyu aliyeko akapewa who is blood brother of kijazi….stay tuned
And his exceptional can bee seen since his demise....For any general rules, there are some exceptional to the case, that was exceptional!.
P
No sio hamna replacement but rather for a smooth transition.Unamaana gani hamna replacement?
unyeti ni huu mayalaNo sio hamna replacement but rather for a smooth transition.
Kuna baadhi ya nafasi nyeti kazi inakwenda vizuri kwa a team work spirit, hivyo ukifikia muda wa changing the guards, unawabadili mdogo mdogo. Mfano wenzetu US, new president akiingia, the old ana vacate the office with all his lugages na bagages, rais mpya akiingia anaingia na private office mpya. Huku Samia ndio juzi kamaliza kuifagia ile private office ya JPM.
p
KAMA sijasahau BUNGE cchini ya BW NDUGAI lilitunga sheria kwa kada maalum kuongezewa muda wa kufanya kazi hata baada ya kufikisha umri wa kustaafu kwa lazima , mfano madaktari .Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba?
Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
Mayalla umeliogopa hillo lidude.....imagine kijazi kaachia madaraka lakini acha tu zungumza juu ya hilo liattachment kidogo.....unyeti ni huu mayala