Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

Unamaana gani hamna replacement?
No sio hamna replacement but rather for a smooth transition.
Kuna baadhi ya nafasi nyeti kazi inakwenda vizuri kwa a team work spirit, hivyo ukifikia muda wa changing the guards, unawabadili mdogo mdogo. Mfano wenzetu US, new president akiingia, the old ana vacate the office with all his lugages na bagages, rais mpya akiingia anaingia na private office mpya. Huku Samia ndio juzi kamaliza kuifagia ile private office ya JPM.
p
 
Hapa wengi wanaopinga kuongewa huku kwa mikataba ni vijana na hao wanaoongezewa ni baba zao, na wao watafikia siku moja wataongezewa wakati huo itakua ni sawa tu kwao ila watoto wao wataona sio sawa.

Muhimu hapa ni kuangalia umuhimu wa swala hili kwa mujibu wa sheria
.
 
Pambana na hali yako kwani hao wanaoongezewa wana ujuzi wa kutosha
Since kijazi was appointed as KM wa ardhi bado yuko TANAPA na ameanzisha kazi za kusuluisha mipaka ya Hifadhi na vijiji…. Kw upande wa finance aliyeko ana CPA + Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 10 ambo wana CPA + Master with experience of more than 15years each,,,,, Kw upande wa internal audit aliyeko ana CPA + Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 4 ambo wana CPA + Master degree with experience of more than 12years each,,,,, Kw upande wa engineering aliyeko ana Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 4 ambo wana Master with experience of more than 12years each,,,,,kuna miradi mingi sana ambayo ya ujenzi inasuasua kwa sababu ya kutanguliza advance payments…which in other words is equal to 10%......

hivi mnajua kuna mkaguzi mkuu wa ndani mmoja alikuwa very strong by then….lakn due to high power of kijazi had by then ….link…..allan kijazi to his brother john kijazi to jpm here…….alitolewa tanapa na kupelekwa halimashauri ya liwale na akaambiwa ni uhamisho wa kawaida…..then ndiyo huyu aliyeko akapewa who is blood brother of kijazi….stay tuned
 
Kwa hiyo unataka kusema kwamba hiyo organization ni poor kiasi kwamba imeshindwa kuwa train watu wake kiasi cha kuongezea watu mikataba?
Siyo suala la organization husika bali kukosa kibali cha kuajiri kutoka serikali kuu.
 
Since kijazi was appointed as KM wa ardhi bado yuko TANAPA na ameanzisha kazi za kusuluisha mipaka ya Hifadhi na vijiji…. Kw upande wa finance aliyeko ana CPA + Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 10 ambo wana CPA + Master with experience of more than 15years each,,,,, Kw upande wa internal audit aliyeko ana CPA + Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 4 ambo wana CPA + Master degree with experience of more than 12years each,,,,, Kw upande wa engineering aliyeko ana Master degree(MBA)…waliopo ni Zaidi ya 4 ambo wana Master with experience of more than 12years each,,,,,kuna miradi mingi sana ambayo ya ujenzi inasuasua kwa sababu ya kutanguliza advance payments…which in other words is equal to 10%......

hivi mnajua kuna mkaguzi mkuu wa ndani mmoja alikuwa very strong by then….lakn due to high power of kijazi had by then ….link…..allan kijazi to his brother john kijazi to jpm here…….alitolewa tanapa na kupelekwa halimashauri ya liwale na akaambiwa ni uhamisho wa kawaida…..then ndiyo huyu aliyeko akapewa who is blood brother of kijazi….stay tuned
Sasa umeniamisha kuwa wewe ni mpiga majungu mkuu. Pigana na hali yako usije kufa kwa usongo wa mawazo!
 
Unamaana gani hamna replacement?
No sio hamna replacement but rather for a smooth transition.
Kuna baadhi ya nafasi nyeti kazi inakwenda vizuri kwa a team work spirit, hivyo ukifikia muda wa changing the guards, unawabadili mdogo mdogo. Mfano wenzetu US, new president akiingia, the old ana vacate the office with all his lugages na bagages, rais mpya akiingia anaingia na private office mpya. Huku Samia ndio juzi kamaliza kuifagia ile private office ya JPM. Hata Mkuchika nae soon atapumzishwa.
P
 
Kuna shida gani wakati hamtaki kujifunza.
24/7 we upo JF na Insta tu wastaafu wapo kazini 30 yrs umri wako.
We kaa JF na wao waendelee kukushikia ajira simple.
 
Joseph Butiku ana miaka 83, ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere. Sijui ni taasisi ya serikali au ni taasisi binafsi lakini yenye hadhi ya kiserikali. Hawa hawana kung'atuka wala hawana kufuata nyayo za Nyerere JK
 
No sio hamna replacement but rather for a smooth transition.
Kuna baadhi ya nafasi nyeti kazi inakwenda vizuri kwa a team work spirit, hivyo ukifikia muda wa changing the guards, unawabadili mdogo mdogo. Mfano wenzetu US, new president akiingia, the old ana vacate the office with all his lugages na bagages, rais mpya akiingia anaingia na private office mpya. Huku Samia ndio juzi kamaliza kuifagia ile private office ya JPM.
p
unyeti ni huu mayala
 
Attachments

lakini kutokana na tatizo la ajira kwa vijana wanao maliza vyuo kuongezeka nadhani sio jambo sahihi kuongeza mkataba kwa wazee wastaafu wakati kuna nguvu mpya inatafuta ajira. Mtindo huo ulikuwa unafaa ktk kipindi cha zama zilizo pita ambapo wataalamu/wasomi walikuwa wachache lkn sio ktk zama hizi ambapo kuna lundu la wataalamu/wasomi walio bobea.

Ni vyema mamlaka zikaufuta utaratibu huu wa kuongeza mikataba labda kwa kada maalumu na mahsusi tu, kwengine wafute.

Lini pia napendekeza umri wa kustaafu upunguzwe kutoka miaka 55/60 iwe 50 hiari 55 lazima, kwa kufanya hivyo vijana watapata ajira.

Lakini pia kuna tatizo la kufoji umri, watumishi wengi wanao tumika umri wao sio sahihi wengi wamesha vuka umri lkn kwa kuwa walifoji bado wanatumikia lkn wamechoka.
 
Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba?

Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
KAMA sijasahau BUNGE cchini ya BW NDUGAI lilitunga sheria kwa kada maalum kuongezewa muda wa kufanya kazi hata baada ya kufikisha umri wa kustaafu kwa lazima , mfano madaktari .
 
tafadhali changia hapa.......https://www.jamiiforums.com/threads/je-ni-sahihi-kwa-watumishi-wa-umma-waliofikisha-umri-wa-kustaafu-kuongezewa-mkataba.1950009/ fu
 
Back
Top Bottom